Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi

Wakuu nifanyeje?
Sio kesi mkuu
 
Una umri gani wewe? Mna watoto? Na mara ya mwisho kumtia ni lini?
 
Mwanaume mwenyewe hadi na period unapata, aaah upigwe tu kudadeki zako......
If idumu😅😅
 
Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi

Wakuu nifanyeje?
Km umeshamwacha unamwitaje tena mke? Ujue siye si wehu km wewe
 
Wanawake wana silaha nne kuu za kuwacontrol wanaume mabwege
1. Sex
2. Machozi/kujiliza
3. Maneno matamu
4. Drama

Kama una sababu ya msingi ya kumpiga chini fanya hivyo usisite. Mwanamke huwa hasamehewi hata ajilize. Kwa kifupi usimpe nafasi ya kumsikiliza
Nakazia mwanamke anae Lia usithubutu hata kumsikiliza kimbia MITA 5000
 
Umemiss kupigwa na kutukanwa mpaka unalia na kusaga meno au mie sijaelewa?? 😵
 
Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi

Wakuu nifanyeje?
Kwanza huna uwezo wa kumuacha ,pili huna sababu za msingi za kumuacha ndio maana unajiongelesha hapa.
 
Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi

Wakuu nifanyeje?
Na wewe lia
 
Back
Top Bottom