Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku

.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ruto atakuwa anasema, jamani najua nina hali mbaya na Gen Z wananipeleka moto ila muoneni jirani yetu, utafikiri methali ya kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ilitungwa kwaajili yake.

Bango hili lipo mwenge Dar, karibu na British Council
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku

.Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025