Pre GE2025 Baada ya kumuweka kwenye bango la comedy Rais Samia awekwa kwenye bango la Valentine's. Chawa wanampoza baada ya kuumudhi

Pre GE2025 Baada ya kumuweka kwenye bango la comedy Rais Samia awekwa kwenye bango la Valentine's. Chawa wanampoza baada ya kuumudhi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi hao chawa hawajui dini yake haitambui huyo Valentino. Wanamdhalilisha kidini sjui km wanajua hilo.
 
Wakuu,

Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.

Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ruto atakuwa anasema, jamani najua nina hali mbaya na Gen Z wananipeleka moto ila muoneni jirani yetu, utafikiri methali ya kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ilitungwa kwaajili yake.:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

View attachment 3236284
Bango hili lipo mwenge Dar, karibu na British Council
Viongozi wetu kwa makusudi kabisa wameamua kutengeneza taifa la watu wajinga
 
Kuna wajinga wanakula hii nchi sasa hivi, kama panya.
Kuna mahala nilikutana na mishangazi flani hv ya kizenji, sikubaini Kwa haraka Iko idara gani za kiserikali, yanatambiana kuvaa nywele za nilioni moja huku wakisifia uongozi huu ulivyomtamu.
 
Mnampendaje mke wa wenyewe? Na mama ya Abdul? Kwani nyinyi hamna mama zenu?
 
Back
Top Bottom