Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpongeza mama basi jmn
Ni kweli simpendi lakini kura kamwe hiawezi watoa madarakani ...njooni na mpango mkakati mwingine!Kama hashtuki asubiri, tutamshtua kwenye box la kura huyu nakumrudisha huko Kizimkazi
Nimekuja maana naona umeniita.
Itabidi apewe likizo ya uzazi ndani ya miaka mitano ikifika kipindi cha uchaguziWakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ruto atakuwa anasema, jamani najua nina hali mbaya na Gen Z wananipeleka moto ila muoneni jirani yetu, utafikiri methali ya kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ilitungwa kwaajili yake.
Mama anagawa mapesa kujipigia promo. Pongezi kwakeMpongeza mama basi jmn
Karibu sana tajiriNimekuja maana naona umeniita.
Excellent!!!
Hizo pesq hazijakufikia rafiki?Mama anagawa mapesa kujipigia promo. Pongezi kwake
Hazijanifikia tugawane basi ulizozipata. Bidhaa zipo wateja hamuonekaniHizo pesq hazijakufikia rafiki?
Kama vipi tuendeleze ile biashara yetu.
Una bodhaa nzuri hongera
Kuna wajinga wanakula hii nchi sasa hivi, kama panya.Me huwa nahisi kuna fungu kwa ajili ya hizo mambo. Maana kuna hadi sponsored Ads huko X (Twitter) zikimpamba Mama.
Huyo ni kidampa wa mwisho mwisho tu huko Lumumba hana pesa hizo .
ha ha ha, au anamanisha British school na hao ndo wanaweza wakawa ndo wameweka ujinga huoBritish Council ipo mtaa wa Posta. Mwenge hakuna British Council.
Mtatugonganisha.Wakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ruto atakuwa anasema, jamani najua nina hali mbaya na Gen Z wananipeleka moto ila muoneni jirani yetu, utafikiri methali ya kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ilitungwa kwaajili yake.
Kwa upuuzi kama huu ni kwa nini Trump asisitishe misaada kupitia USAID? Unaambiwa gharama za kuprint hilo bango ni sawa na kujenga matundu matano ya vyoo pale shule ya msingi Zuzu na Kapere hapa KantalambaWakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ruto atakuwa anasema, jamani najua nina hali mbaya na Gen Z wananipeleka moto ila muoneni jirani yetu, utafikiri methali ya kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ilitungwa kwaajili yake.
Ni ujinga uliopitiliza!Me huwa nahisi kuna fungu kwa ajili ya hizo mambo. Maana kuna hadi sponsored Ads huko X (Twitter) zikimpamba Mama.
Enzi ya Mwendazake watu walikimbilia Tv kila ilipofika saa 2 kutazama kashikashi zake.. huyu anajitahidi kupewa kila aina ya promo lakini ameshindwa kuwashawishi wananchi hana mvuto hata majukwaani utafikiri anaongea bibi muuza wanzuki.. na mimacho anarembua km wale wadada wa Ubungo Riverside...Mama anagawa mapesa kujipigia promo. Pongezi kwake
Hapo kwenye sentensi ya mwisho mi simoooooEnzi ya Mwendazake watu walikimbilia Tv kila ilipofika saa 2 kutazama kashikashi zake.. huyu anajitahidi kupewa kila aina ya promo lakini ameshindwa kuwashawishi wananchi hana mvuto hata majukwaa utafikiri anaongea bibi muuza wanzuki.. na mimacho anarembua km wale wadada wa Ubungo Riverside...
Wakuu,