Pre GE2025 Baada ya kumuweka kwenye bango la comedy Rais Samia awekwa kwenye bango la Valentine's. Chawa wanampoza baada ya kuumudhi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.

Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ruto atakuwa anasema, jamani najua nina hali mbaya na Gen Z wananipeleka moto ila muoneni jirani yetu, utafikiri methali ya kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ilitungwa kwaajili yake.


Bango hili lipo mwenge Dar, karibu na British Council
 
Huu uchawa umevuka mipaka
 
Tunaishi kipindi ambacho watu ni wanafiki sana yani kila mtu anajitahidi eti kumwonyesha anampenda lakini lengo ni ajulikane naye ale kipande cha cake.
 
British Council ipo mtaa wa Posta. Mwenge hakuna British Council.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…