Baada ya kunikula kanichunia

Daaaaaah kwa hiyoo ndo umeamua Kuja kunsimanga huku jamvinii??
Basi sawaa, haina shida
 
Samahani ukifanya mara moja bikira inaweza kurudi??
Ushauri kwako kama dada MKUBWA, never ever ruhusu mwanaume acheze na mwili au hisia zako b4 marriage..... ukiwa kwenye ndoa kila unalofanya ni ibada na Mola Mlezi anakulipa, yaani sex, kumhudumia mwenza wako na mfano wa hayo...

Sasa umeteleza, Frank ni chui aliyejificha kwenye ngozi ya kondoo na akatimiza AZMA yake ametembea!!! Jitulize, mwombe Mungu atakuletea wa kufanana na wewe na mtaoana na kujenga familia.

HAKUNA MWANAUME UTAMWAMBIA UKO BIKRA HALAFU ATAKUACHA KIRAHISI, HAWA VIUMBE MBAKA KUKUFULIA ATAKUFULIA HATA KUKUBEBA MGONGONI ATAKUBEBA ILI TU AKUPATE!!!

Huoni nyuzi zinazoanzishwa hapa MTU YUPO TAYARI HATA KWENDA KUCHUKUA MKOPO WA RIBA ILI TU AMPATE MSICHANA???

Ni wachache sana waliosafi, na hawa Mungu anawapitisha kwenye mapito yake na kuwakutanisha na wanaofanana nao.
 
Karibu katika ulimwengu. Ilinde ile bikra iliyobakia
 
Karibu kwenye ulimwengu wa hit and run. Hizi mambo za kawaida siku hizi usiingie kwenye mahusiano mazima
 
Sema ukweli wako toka moyoni, kama usingempata mwanaume mwenye malengo ya kukuoa ungekaa na bikra yako hadi unazeeka nayo?

Maana kuna wanawake hawajawahi kupata wanaume wa kutaka kuwaoa tangu wamevunja ungo hadi ujana unawapita na wanazeeka hivohivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sogea nikukunekune mgongoni, nikunyonye sikio, utasahau tu!!!!!
 
Au wew una sura ya baba kwanin ale na kuondoka Ila hamna kitu kinauma Kama mtu akubrock whsp
 
Au wew una sura ya baba kwanin ale na kuondoka Ila hamna kitu kinauma Kama mtu akubrock whsp

Haha Mimi mzurii bhn

Ananiblock nimemkosea nini[emoji23][emoji23]
 
choo unacho dada mzungu?
 
Usiseme kukulana,hakuna neno Hilo.
Umeliwa,na inawezekana amekuta maji tu na break pumbu,sasa tuliza kipapa Cha Nazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…