Mdogo wangu am real so sad for you...
Mwanaume anayekupenda na mwenye future na wewe anatakiwa KUFUATA taratibu zote ikiwemo kuja nyumba kwetu, kutoa mahari na mfunge ndoa!!! Toka lini kumtunuku mwanaume bikra yako nje ya ndoa kunakufanya wapekee????
Leo kakuacha, kesho anaolewa na mwingine utaenda kumwambia BIKRA yako imepotelea wapi? Atakuona ulikuwa mchepukaji na hata ikitokea sintofahamu ataamini maana kama uliweza kutunuku kabla ya ndoa utashindwa ukiwa kwenye ndoa???
WASICHANA tubadilike jamani!!! Sasa hivi amekuongeza kwenye ORODHA YA ALIOFANYA NAO NGONO NA HUENDA ALIOWEKA JIWE LA MSINGI!!!!
Amini usiamini MWANAUME anapokukuta BIKRA kwenye HONEYMOON yenu LAZIMA ATAKUHESHIMU SANA MAANA HAKUNA ZAWADI KUBWA KWAKE KAMA KUINGIA KWENYE NDOA UKIWA SEALED!!
Pole sana, samehe MOVE ON MDOGO WANGU.