Baada ya kunikula kanichunia

Baada ya kunikula kanichunia

kwani UTU ndo bikra? sasa mbona wewe UTU unao lakini bikra Huna?
Ila tusammeheane utalipwa mbinguni

Mimi kama mimi sijakukosea kitu ila wewe ndio umenikosea yaani unibikiri afu uuchune
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndio huyo mchaga ambae hayuko romantic… Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpk mwezi uliopita ndio tulifanikiwa kukulana
Nikiwa nimetimiza miaka25 mwezi uliopita niliona sio mbaya kumtunuku ninaemwita mpenzi wangu Frank

Hata yeye alifurahi maana ndio mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri) akaniahidi ahadi kedekede,, basi ndio hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi

Sasa ndugu zangu mimi ndio bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia.. baada ya tendo alionesha kunikea Kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndio mambo yakarudi kama mwanzo hanitafuti mpk nimuanze… mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza Kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu

Tangu hapo sikumtafuta baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpk hivi leo navoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha … nilikuwa na view status zake nae ana view zangu ila baadae nikaona kimyaa sioni status zake wala sioni akiview zangu

Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli ikabidi nimuulize sister angu kwamba anaona status za Frank akajibu ndio ni kamwambia na dp aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa

Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia Kama Leo baada ya kujua kumbe kaniblock

Inamaana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage…

Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara ila ndio hivyo tena

Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi

Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hahahahaha!Frank kunywa soda nakuja kulipa...
 
Kwanza sio bikra ni bikira


Anyway sijaandika kumuhakikishia mtu nimeandika nipate hafueni nimechoka kuumia kimyakimya
Madhara ya kumchunia kumtunuku tunda huo muda ni mrefu sana kumpea na sasa alipoonja amekuta hakuna uhalisia wa kile unachodai u bikira.Kalinganisha mali yake iliyopotea muda mrefu na uongo wa kuwa bikira ameona asepe kimya kimya bila mtafaruku.
 
Back
Top Bottom