Baada ya kunikula kanichunia

Baada ya kunikula kanichunia

Miaka mingi imepita kabla sijaoa, nilimpenda sana wakati huo binti mmoja kwa sasa ni mama mtu mzima, nikamtongoza akanisumbua weeee siku moja akaniuliza kusudi langu kwake ni lipi? Nikamjibu kama siku zote nilishakuambia ni kukuoa tuanzishe familia akasema poa atanipa jibu.

Wakati wote namtongoza alikuwa akiniambia yeye ni bikra hajawahi kuguswa na mwanaume katika maisha yake. Siku ikafika akanifata tukaenda zetu faragha, lahaulaaa nikakutana na uchi ZOEFU wa kutiwa akajua kwamba nimelitambua hilo na sikufurahishwa kwa uongo wake. Baada ya pale nilitokea kumchukia sana na sikuwa na hamasa tena ya kumtafuta.

Pamoja na kutoa maelezo meengi na kuomba radhi kwa kunidanganya sikuwa na utayari wa kuendelea kuwa naye kimahusiano ya kimapenzi.

By the way ,hiyo bikira yako unazungumzia ni ipi ( ya mbele au ya nyuma)?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zetu tunazijua wenyewe,

Sasa unadanganya kuwa ni bikra hili iweje?? Sometimes tunajiharibia wenyewe.
 
Akili zetu tunazijua wenyewe,

Sasa unadanganya kuwa ni bikra hili iweje?? Sometimes tunajiharibia wenyewe.
Niliumia sana kwa yule msichana maana nilimpenda sana kiasi kwamba kama asingethubutu kunidanganya ningemuoa, lakini kitendo Cha kusema uongo ule sikuona sababu ya kukaa na mtu ambaye hawezi kuwa mkweli ndani ya "ndoa". Na kwa bahati mbaya hajaolewa hadi sasa ingawa mtoto anaye Mkubwa tu....kila akiwasiliana na mimi haachi kujilaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliumia sana kwa yule msichana maana nilimpenda sana kiasi kwamba kama asingethubutu kunidanganya ningemuoa, lakini kitendo Cha kusema uongo ule sikuona sababu ya kukaa na mtu ambaye hawezi kuwa mkweli ndani ya "ndoa". Na kwa bahati mbaya hajaolewa hadi sasa ingawa mtoto anaye Mkubwa tu....kila akiwasiliana na mimi haachi kujilaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Majuto ni mjukuu
 
ananionea tu , mimi nimeitoa mara moja tu, ameanza kunilaumu, bora ingekuwa mara mbili afu mimi ni mwinjirist et

Na ulisema nyinginee utaimalizia ukinioa mbona umenikatili [emoji23][emoji23]
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndio huyo mchaga ambae hayuko romantic… Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpk mwezi uliopita ndio tulifanikiwa kukulana
Nikiwa nimetimiza miaka25 mwezi uliopita niliona sio mbaya kumtunuku ninaemwita mpenzi wangu Frank

Hata yeye alifurahi maana ndio mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri) akaniahidi ahadi kedekede,, basi ndio hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi

Sasa ndugu zangu mimi ndio bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia.. baada ya tendo alionesha kunikea Kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndio mambo yakarudi kama mwanzo hanitafuti mpk nimuanze… mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza Kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu

Tangu hapo sikumtafuta baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpk hivi leo navoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha … nilikuwa na view status zake nae ana view zangu ila baadae nikaona kimyaa sioni status zake wala sioni akiview zangu

Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli ikabidi nimuulize sister angu kwamba anaona status za Frank akajibu ndio ni kamwambia na dp aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa

Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia Kama Leo baada ya kujua kumbe kaniblock

Inamaana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage…

Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara ila ndio hivyo tena

Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi

Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Njoo pm my tufanye logistics za kuliwazana
 
What a Miracle !!
Frank kabakiza 71 Kati ya wale 72.
Kama sio shabu na Malimao..cjui.
Fure kastuka bhana😎
FB_IMG_1660396245327.jpg
 
Pole,nimekuonea huruma kwa dhati kabisa.Ila sema haikuwan na ulazima wa kumuonyesha utupu wako Frank kabla ya ndoa kwa sababu ulikuwa unafanya uasherati tuu huo,ijapo umepamba kwa neno "Kulana".Mungu akusaidie.

Lakini pia ume-sound kama wewe ni msanii hiv.Kwa jicho la ndani ni kama kuna kitu unakitangaza humu.

Asante

Ila Hakuna nachokitangaza kwasababu humu humu nitapata ushaurii kupitia uzi wangu
 
Miaka mingi imepita kabla sijaoa, nilimpenda sana wakati huo binti mmoja kwa sasa ni mama mtu mzima, nikamtongoza akanisumbua weeee siku moja akaniuliza kusudi langu kwake ni lipi? Nikamjibu kama siku zote nilishakuambia ni kukuoa

Uzuri ni kwamba Id ni fake so hatujuani sina haja ya kudanganya maana Hakuna faida ingekuwa sikuwa nayo ningesema humu kwamba siku bikira

Ila kiufupi sikuwahi kujihusisha na ngono mpk hapo nilipokutana na yeye hivyo kuingiliwa na mwanaume ndio yeye wa kwanza
 
Back
Top Bottom