Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Ulihinadi ni bikira,matokeo yake jamaa kakuta break pu**mbu....
Unadhani ana cha kupoteza?
Unadhani ana cha kupoteza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai ya rangi!Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndio huyo mchaga ambae hayuko romantic… Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpk mwezi
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli ikabidi nimuulize sister angu kwamba anaona status za Frank akajibu ndio ni kamwambia na dp aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa
Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwahiyo ulitegemea mwaka na miezi nane hamjafanya yeye huko atakuwa amekaa hafanyi anakusubiri wewe?? Simple formula alikuwa amesgakuacha siku nyingi na akaanzisha mahusiano na mtu mwingine lakini sisi wanaume huwa hatuachi kipengele ambacho hatujakimaliza hadi tukimalize. Kwahiyo ulivyojileta kwenye 18 watu wamebutua kisha kwenda zao. That's how sexual world is.
Aisee, nawe mpotezeesikumzungusha dear ni vile tulikuwa tunajaribugii inagomaa hivyo alikuwa ananionea huruma
Mnato unakuwaje?Atakuwa alikosa mnato; jitahidi uwe na mnato, ikiingia iwe inavutwa kwa ndani
mm hapa nakusubr ww tuuSawa na Mimi nasubiri mnyonge wangu
Hii inakuwa ni mtu amezaliwa nayoMnato unakuwaje?
Nilivyoona tu mwandiko wa kiume nikaacha kuisoma hii storyKama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za
Inanata? Au inabana? Au bila utalezi?Hii inakuwa ni mtu amezaliwa nayo
Pole sana kwa uzoefu.Frank, Emmanuel na Denis sio majina ya kuwapa watoto.
Hakuna hakuna , hakuna nasema hivi hakuna kitu kama hichoFrank, Emmanuel na Denis sio majina ya kuwapa watoto.
Inakuwa inavuta kama mpira; huko nje wapo wanaoenda kufanyiwa upasuaji kuwa na hiyo kituInanata? Au inabana? Au bila utalezi?
Mambo ya wachache hayo[emoji849]Inakuwa inavuta kama mpira; huko nje wapo wanaoenda kufanyiwa upasuaji kuwa na hiyo kitu
🤣🤣🤣🤣Wewe lako ni lipi kati ya hayo?hakuna hakuna , hakuna nasema hivi hakuna kitu kama hicho
Vipi, unayo hiyo; tuje tuweke kambiMambo ya wachache hayo[emoji849]
Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi [emoji2827]Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndio huyo mchaga ambae hayuko romantic… Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpk mwezi uliopita ndio tulifanikiwa kukulana
Nikiwa nimetimiza miaka25 mwezi uliopita niliona sio mbaya kumtunuku ninaemwita mpenzi wangu Frank
Hata yeye alifurahi maana ndio mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri) akaniahidi ahadi kedekede,, basi ndio hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi
Sasa ndugu zangu mimi ndio bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia.. baada ya tendo alionesha kunikea Kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndio mambo yakarudi kama mwanzo hanitafuti mpk nimuanze… mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza Kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpk hivi leo navoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha … nilikuwa na view status zake nae ana view zangu ila baadae nikaona kimyaa sioni status zake wala sioni akiview zangu
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli ikabidi nimuulize sister angu kwamba anaona status za Frank akajibu ndio ni kamwambia na dp aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia Kama Leo baada ya kujua kumbe kaniblock
Inamaana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage…
Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara ila ndio hivyo tena
Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi
Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Labda alikuta bikra FEKIDunia na mambo yake.