Baada ya kunikula kanichunia

Baada ya kunikula kanichunia

Ulihinadi ni bikira,matokeo yake jamaa kakuta break pu**mbu....
Unadhani ana cha kupoteza?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndio huyo mchaga ambae hayuko romantic… Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpk mwezi

Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli ikabidi nimuulize sister angu kwamba anaona status za Frank akajibu ndio ni kamwambia na dp aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa


Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Chai ya rangi!
 
Kwahiyo ulitegemea mwaka na miezi nane hamjafanya yeye huko atakuwa amekaa hafanyi anakusubiri wewe?? Simple formula alikuwa amesgakuacha siku nyingi na akaanzisha mahusiano na mtu mwingine lakini sisi wanaume huwa hatuachi kipengele ambacho hatujakimaliza hadi tukimalize. Kwahiyo ulivyojileta kwenye 18 watu wamebutua kisha kwenda zao. That's how sexual world is.

Sawa na Mimi nasubiri mnyonge wangu
 
Atakuwa alikosa mnato; jitahidi uwe na mnato, ikiingia iwe inavutwa kwa ndani
 
Frank, Emmanuel na Denis sio majina ya kuwapa watoto.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za
Nilivyoona tu mwandiko wa kiume nikaacha kuisoma hii story
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndio huyo mchaga ambae hayuko romantic… Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpk mwezi uliopita ndio tulifanikiwa kukulana
Nikiwa nimetimiza miaka25 mwezi uliopita niliona sio mbaya kumtunuku ninaemwita mpenzi wangu Frank

Hata yeye alifurahi maana ndio mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri) akaniahidi ahadi kedekede,, basi ndio hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi

Sasa ndugu zangu mimi ndio bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia.. baada ya tendo alionesha kunikea Kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndio mambo yakarudi kama mwanzo hanitafuti mpk nimuanze… mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza Kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu

Tangu hapo sikumtafuta baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpk hivi leo navoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha … nilikuwa na view status zake nae ana view zangu ila baadae nikaona kimyaa sioni status zake wala sioni akiview zangu

Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli ikabidi nimuulize sister angu kwamba anaona status za Frank akajibu ndio ni kamwambia na dp aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa

Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia Kama Leo baada ya kujua kumbe kaniblock

Inamaana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage…

Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara ila ndio hivyo tena

Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi

Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi [emoji2827]
 
Back
Top Bottom