mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Akili zetu tunazijua wenyewe,Miaka mingi imepita kabla sijaoa, nilimpenda sana wakati huo binti mmoja kwa sasa ni mama mtu mzima, nikamtongoza akanisumbua weeee siku moja akaniuliza kusudi langu kwake ni lipi? Nikamjibu kama siku zote nilishakuambia ni kukuoa tuanzishe familia akasema poa atanipa jibu.
Wakati wote namtongoza alikuwa akiniambia yeye ni bikra hajawahi kuguswa na mwanaume katika maisha yake. Siku ikafika akanifata tukaenda zetu faragha, lahaulaaa nikakutana na uchi ZOEFU wa kutiwa akajua kwamba nimelitambua hilo na sikufurahishwa kwa uongo wake. Baada ya pale nilitokea kumchukia sana na sikuwa na hamasa tena ya kumtafuta.
Pamoja na kutoa maelezo meengi na kuomba radhi kwa kunidanganya sikuwa na utayari wa kuendelea kuwa naye kimahusiano ya kimapenzi.
By the way ,hiyo bikira yako unazungumzia ni ipi ( ya mbele au ya nyuma)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unadanganya kuwa ni bikra hili iweje?? Sometimes tunajiharibia wenyewe.