Baada ya kunikula kanichunia

Si haki kabisa. Nataman bwana Frank angejitokeza anyooshe maelezo.
ananionea tu , mimi nimeitoa mara moja tu, ameanza kunilaumu, bora ingekuwa mara mbili afu mimi ni mwinjirist et
 
ananionea tu , mimi nimeitoa mara moja tu, ameanza kunilaumu, bora ingekuwa mara mbili afu mimi ni mwinjirist et
[emoji2][emoji2][emoji2] khaaa! Sasa kwa nini umemchunia?
 
Hata yeye alifurahi maana ndio mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri) akaniahidi ahadi kedekede,, basi ndio hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa
 
Pole,nimekuonea huruma kwa dhati kabisa.Ila sema haikuwan na ulazima wa kumuonyesha utupu wako Frank kabla ya ndoa kwa sababu ulikuwa unafanya uasherati tuu huo,ijapo umepamba kwa neno "Kulana".Mungu akusaidie.

Lakini pia ume-sound kama wewe ni msanii hiv.Kwa jicho la ndani ni kama kuna kitu unakitangaza humu.
 
Mambo ya mpaka ndoa, wengi hupoteza wapenzi
 
Miaka mingi imepita kabla sijaoa, nilimpenda sana wakati huo binti mmoja kwa sasa ni mama mtu mzima, nikamtongoza akanisumbua weeee siku moja akaniuliza kusudi langu kwake ni lipi? Nikamjibu kama siku zote nilishakuambia ni kukuoa tuanzishe familia akasema poa atanipa jibu.

Wakati wote namtongoza alikuwa akiniambia yeye ni bikra hajawahi kuguswa na mwanaume katika maisha yake. Siku ikafika akanifata tukaenda zetu faragha, lahaulaaa nikakutana na uchi ZOEFU wa kutiwa akajua kwamba nimelitambua hilo na sikufurahishwa kwa uongo wake. Baada ya pale nilitokea kumchukia sana na sikuwa na hamasa tena ya kumtafuta.

Pamoja na kutoa maelezo meengi na kuomba radhi kwa kunidanganya sikuwa na utayari wa kuendelea kuwa naye kimahusiano ya kimapenzi.

By the way ,hiyo bikira yako unazungumzia ni ipi ( ya mbele au ya nyuma)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…