mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #61
Elezea vizuri bikra ya wapi
Sasa jamani nije niandika bikira afu iwe ya nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elezea vizuri bikra ya wapi
Basi pole kwa maumivu,ila usije ukatafuta mwanaume mwingine haraka haraka ili umsahau,nenda bar kula vyombo rudi nyumbani lala
Dume hili linatuchora tuu.
Safi sana baharia.
Njoo nione kweli......Sasa kwanini ukatae ninachoandikaa kwamba ni uongo sasa mimi niandike uongo utanisaidia nini
Wainjilisti Sasa😅😅Unakumbuka story ya Tajiri na Lazaro wa kwenye Biblia
Mwisho wa siku yule tajiri alijibiwa vipi
Ibrahimu akamwambia, ‘Wasiposikiliza na kutii sheria za Musa na Maandiko ya manabii, hawatashawishika kutubu hata kama mtu akifufuka kutoka kuzimu.”’
Nataka kusema hata mtu atoke kuzimu akuambie hivi huwezi kuaminiiiiiiiiii
Mkuu katika watu wenye experience na akili mmoja wapo wwHuu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
Basi kula ugolo ulaleSitumiagi hivyo vitu
[emoji1][emoji1][emoji1]bikra imetoka ipi tigo au voda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nifanyajee nimelia nimechokaa
unahuakika imetoka vizuri ebu tuangalie inawezekana bwana frank ajaitoa vizuri
Hapo sasa usipokua makini itakua kama umefungulia koki watu watapiga mpaka uchanganyikiwe.
Amekufungulia Dunia,
Alichokuwa anakitaka kakipata,
Halafu hii tabia ya kumzungusha mwanaume sitaki nataka kila siku utakuwa unalia
Hawa viumbe wana dharau ya kuumiza na wala hawajali.
Wainjilisti Sasa[emoji28][emoji28]