Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Babu huo mchezo aliokufundisha ex wako Mungu anamuona!
 
Shindano lilifanyika na mrembo mshindi alipatikana. Naweza kukutafutia video yake nitakutumia baadae ushuhudie hilo shindano lilivyo fanyika
Nitumie Mkuu nitacheka sana!
Judges walikuwa akina nani?

Nilidhani nimeona yote Wallah! Doh
 
Wanasema huwezi kumtambua kwa kumtazama ama kwa mavazi yake kujua kama ameokoka, ila juzi kinguo alichovaa Mlimani City hakioneshi kuwa ameokoka.

It's like alikuwa anawinda hela za wastaafu 🏃‍♂️🏃‍♂️
Kwani Mna hela nyie 🤣🤣🤣
 
Duh kumbe..

Kweli usimjudge mtu kwa kumuangalia Instagram [emoji1787]navomuonaga mpole mwenyewe najiambia Aslay ndo kamfanya awe vile
 
Nitumie Mkuu nitacheka sana!
Judges walikuwa akina nani?

Nilidhani nimeona yote Wallah! Doh
Bado hujaona mengi, najaribu ku upload video lakini mtandao inazingua, kama una haraka ya kuona video hiyo basi ingia YouTube na uandike miss ngurumo ya upako utaipata hiyo video.

Ila kama huna haraka basi tulia nitakutumia baadae.
 

Attachments

  • Screenshot_20231229-142127.png
    324.7 KB · Views: 8
Bado hujaona mengi, najaribu ku upload video lakini mtandao inazingua, kama una haraka ya kuona video hiyo basi ingia YouTube na uandike miss ngurumo ya upako utaipata hiyo video.

Ila kama huna haraka basi tulia nitakutumia baadae.
Hakiiiiiiii 🤣🤣🤣

Kumbe judge alikuwa mwenyewe? Naona hapo anathaminisha…

Hivi nyie watu mko serious kweli nyie?
Na waumini wapo kanisani?

Nimecheka mpaka kichwa kinauma, na sina haraka.
Nitasubiri…
 
Huyu akitaka aokoke vizuri aende kwa Mwamposa. Huko kwingine anapoteza muda wake bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…