Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Bhaaaaassss
Sasa uje kumwambia aingie kwenye hekaheka atawezea wapi?

Mimi naona tofauti hili suala lake la kuugua. Nahisi ulikuwa ni uchovu baada ya kufanya kazi kwa kipindi kirefu ambacho sio kawaida yake.
Mwili ukareact ndio akazidiwa!
Inawezekana ila asikimbilie kuwa karogwa
 
Acha ufalaaaaaa! Hizo files ndio zenyewe Mkuu.
Sio lazima uandike wewe, tutafute sisi tunaoweza tupe files turuke nazo.
Hahahahaha sio ufala ..utu bana..wengine tumefunzwa kutunza files kuna moja natafuta mtu nimpe aliweke kwa mtandaoni
 
Kuokoka Si jambo la Siri,

Ni baraka kukombolewa NAFSI.

Anapasa Kutoka mwenyewe na kutangaza hadharani.
 
Suprise huku camera man akiwa kajipinda kuchukua tukio 😂😂

Huo ndio usanii wa madhabahuni, nabii mkuu yupo vizuri katika usanii.
Eti mama wa watu anamwambia “Mume wangu anataka kuvunja ndoa aachane na mimi kisa nimechora tattoo yako”

Yeye badala akemee hilo anajibu “Kweli? Anawezaje kukuacha na uzuri huo?”
Kweli kuna usalama hapo?
 
Hahahahaha sio ufala ..utu bana..wengine tumefunzwa kutunza files kuna moja natafuta mtu nimpe aliweke kwa mtandaoni
Ikiwa ni hapa JF nishtue, au hutotaka tujue kama ndio wewe mtoa file?

Kukaa na file ni kugumu sana, hasa ukute la moto!
 
Kuokoka Si jambo la Siri,

Ni baraka kukombolewa NAFSI.

Anapasa Kutoka mwenyewe na kutangaza hadharani.
Sawa kaka mchungaji.

Jana nimekumbuka ushauri wako Mkuu, nilikuwa naenda chooni kukawa na mjusi akakimbilia kuingia ndani chooni wakati naingia.

Nilihakikisha nimemtoa kwanza, Asante.
 
Yeye badala akemee hilo anajibu “Kweli? Anawezaje kukuacha na uzuri huo?”
Kweli kuna usalama hapo?
Kwa taarifa yako alishamkula huyo lady, baada ya mrembo kuachwa na mume kisa tattoo ya nabii aligeuka kuwa suria wa nabii 😂
 
Lakini yule inafahamika alikuwa zee la tungi sana, hivyo figo kuleta shida ni haki kabisa.
Tatizo sio tungi. Kuna gonjwa ambalo halitajwi.. figo imebebeshwa tu lawama ila kiuhalisia kuna kitu HAKITAJIKI.
 
Back
Top Bottom