Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Wanafiq hao. Ili ukae bongo movie lazima uende kwa sangoma vinginevyo watakuzima fasta. Bongo movie wanarogana sana kama wanavyo rogana wasanii wa singeli
Hapo kwenye mambo ya Sangoma wewe ndio mbobezi mwenye PhD yako.

Vipi una mafile ya waliomaliza vilinge huko bongo movie Mkuu? 😜
 
Sasa mbona kila mmoja amegoma kuupokea huu Wokovu wake? 🥹🥹

Lakini itakuwa sio mara ya kwanza, kuna kipindi alifulia kabisa ilikuwa balaa Aristote akamsema kwa mafumbo ilimuuuuma!

Sijui akaenda kuzisaka wapi huko alivyorudi akarudi palepale kwa Aristote, mjinga sana.
Mkuu kwanza naomba kuuliza Hivi Uwoya anatumia Shisha au Sigara? Kuna vipimo alifanya hivi karibuni?
 
Yani hao utadhani walizaliwa pamoja, vichwa maji wote!

Mimi huwa naona huyu alichomfanyia yule mume wake hakitokaa kimuache, anayopitia ni Karma.
Uamuzi wa kuokoka ni sahihi kama atatubu kweli ile dhambi imuondokee.
Hao wawili huwa sielewi wanakosea wapi ,kipindi niko mjengo fulani kitengo ,nilikua naonana nao sana na story kibao ..Irene nilijua anakuja kufanya mabadiliko lkn wapi ..kuna wadada nadhani wao wameletwa tuwaseme tu wakiwa ktk maisha yao
 
Na ndio maana sipendagi kukaa kule masaa mengi ili kujiepusha na shari 😂
Mahaba ya hizi timu zetu 2 usipokuwa makini unaweza kuwa vichaa kama wale wengine wanaofungiwa kila siku kwa kutukanana.

Mimi kuna siku nilitukanwa matusi ya kila aina, ile siku tuliyowafunga goli nyingi zitaki kuzitaja idadi 😂🥱

Nilitumia busara nikaondoka kwenye uzi, walionifuata nje ya pale niliwapa block wengine nikamalizana nao jino kwa jino.
 
🤣🤣🤣🤣 Umejua kunichekesha leo.

Kumbe ndio maana akapewa cheo cha Nabii Mkuu? Kama ndio hivyo anastahili 😂
Kabla hajawa nabii mkuu, alikuwaga msanii wa Injili, so anajua na ana mbinu nyingi za kuwaokota wenye mahitaji na kuwahudumia.

Nabii mkuu huzingatia kigezo cha kuwatimizia mahitaji wahitaji.
 
Hao wawili huwa sielewi wanakosea wapi ,kipindi niko mjengo fulani kitengo ,nilikua naonana nao sana na story kibao ..Irene nilijua anakuja kufanya mabadiliko lkn wapi ..kuna wadada nadhani wao wameletwa tuwaseme tu wakiwa ktk maisha yao
Tatizo ni kuzoea kuishi kwa mwili, kazi haina matumizi ya akili ndio wamelemaa.

Ubaya hiyo ‘kazi’ yao ni kama mpira, haina muda mrefu sokoni fasta wadau wanahamia kwingine.
 
Tatizo ni kuzoea kuishi kwa mwili, kazi haina matumizi ya akili ndio wamelemaa.

Ubaya hiyo ‘kazi’ yao ni kama mpira, haina muda mrefu sokoni fasta wadau wanahamia kwingine.
Hahahahaha,mtaji mwili
 
Kabla hajawa nabii mkuu, alikuwaga msanii wa Injili, so anajua na ana mbinu nyingi za kuwaokota wenye mahitaji na kuwahudumia.

Nabii mkuu huzingatia kigezo cha kuwatimizia mahitaji wahitaji.
Hakuna kitu huwa ananifurahisha kama ambavyo huwa anajidai kwamba ni surprise yeye mwenyewe hajui kama kuna mtu kajichora tattoo ndio anamuona akipelekwa pale madhabahuni 🤣🤣

Hapo sijawaongelea wale Masheikh!
 
Hapa ukija kusoma lazima na wewe uache kitu, nipe nikupe ubuyu stlye 😂
Hahahaha laiti ningekua naeza andika hii mnaita ubuyu dah..maana nina files hizo hadi nyingine naziogopa , ila huwa sipendi kufuatilia mambo ya watu na siezi and andika popote
 
Hahahahaha,mtaji mwili
Bhaaaaassss
Sasa uje kumwambia aingie kwenye hekaheka atawezea wapi?

Mimi naona tofauti hili suala lake la kuugua. Nahisi ulikuwa ni uchovu baada ya kufanya kazi kwa kipindi kirefu ambacho sio kawaida yake.
Mwili ukareact ndio akazidiwa!
 
Hakuna kitu huwa ananifurahisha kama ambavyo huwa anajidai kwamba ni surprise yeye mwenyewe hajui kama kuna mtu kajichora tattoo ndio anamuona akipelekwa pale madhabahuni 🤣🤣

Hapo sijawaongelea wale Masheikh!
Suprise huku camera man akiwa kajipinda kuchukua tukio 😂😂

Huo ndio usanii wa madhabahuni, nabii mkuu yupo vizuri katika usanii.
 
Hahahaha laiti ningekua naeza and ikawa hii mnaita ubuyu dah..maana nina files hizo hadi nyingine naziogopa , ila huwa sipendi kufuatilia mambo ya watu na siezi and andika popote
Acha ufalaaaaaa! Hizo files ndio zenyewe Mkuu.
Sio lazima uandike wewe, tutafute sisi tunaoweza tupe files turuke nazo.
 
Back
Top Bottom