Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Ngoja kwanza, sio kwamba walianza kabla penzi liliponoga ndipo bibie akachota tattoo?
Kabla ya tattoo walishawakiana tamaa kitambo na kukulana hadi bi mkubwa pastor Anna akatishia uhai wa mtu baadae nabii mkuu akamtuliza bi mkubwa tishio likazimwa πŸ˜‚

Baadae sasa huyo lady akaja kuibukia madhabahuni na hiyo Suprise ya tattoo πŸ˜‚

Kiukweli walishakulana kitambo
 
Hata akivaa nguo nakumbuka ile video yake akiwa uchi enzi hizo nafatilia mambo ya kijinga
 
Kumbe wewe ni mkazi wa chuga?

Tukutane kisongo hemani jpili hii basi tuabudu pamoja kwa nabii mkuu πŸ˜‚
Mimi sio mkazi, huko ndio home japo sijui chochote wala kokote hapo mjini 🀣🀣

Labda useme twende kwa Mromboo kula nyama, kwa Nabii hapana.

Kuna siku bwana hapohapo Arusha mamangu mdogo akawa anasumbuliwa na maradhi hosp ameshakata tamaa, ndio tukaelekezwa kanisa moja juu kule mbali sana…

Tukaenda na mhubiri hakuwa mtu mzima sana, akaanza kuita watu. Mamdogo akaenda, akaulizwa aliyekuja nae kwenye kipaza sauti, mamdogo akaropoka β€œNifah njoo”
Tobaaaaa!

Ilikuwa kizazaa! Enzi hizo nina imani kali Mujahideen haswa! Nilienda nae kwa heshima yake tu.
Nikagoma nikatoka nje! Mchungaji akatuma watu wanifuate, kila mtu alikuja hadi wamama nilikataa katu katu!

Niliapa sitokaa nikanyage maeneo ya hivyo tena!
 
Tatizo sio tungi. Kuna gonjwa ambalo halitajwi.. figo imebebeshwa tu lawama ila kiuhalisia kuna kitu HAKITAJIKI.
Hicho kitu kisichotajika ni nini ambacho hadi wewe umeshindwa kukitaja? 🀣🀣🀣
 
Kabla ya tattoo walishawakiana tamaa kitambo na kukulana hadi bi mkubwa pastor Anna akatishia uhai wa mtu baadae nabii mkuu akamtuliza bi mkubwa tishio likazimwa πŸ˜‚

Baadae sasa huyo lady akaja kuibukia madhabahuni na hiyo Suprise ya tattoo πŸ˜‚

Kiukweli walishakulana kitambo
Nimechekaaaaaa 🀣🀣🀣

Mimi nilijua tu, walikuwa wanaongea kwa mahaba sana.
Eti mimi nakupenda sana hadi nimechora tattoo yako, like WTF?

Ila hilo kanisa aiseee, waumini wake wapewe tuzo maana hamna kituko ambacho hakijatokea huko na hawaambiwi juu ya Nabii!
 
Labda useme twende kwa Mromboo kula nyama, kwa Nabii hapana.
Hili la kula mbuzi choma pale kwa mromboo limepita bila kupingwa utanijulisha lini upo tayari kisha tutashukia huko mahakama ya mbuzi
Kuna siku bwana hapohapo Arusha mamangu mdogo akawa anasumbuliwa na maradhi hosp ameshakata tamaa, ndio tukaelekezwa kanisa moja juu kule mbali sana…

Tukaenda na mhubiri hakuwa mtu mzima sana, akaanza kuita watu. Mamdogo akaenda, akaulizwa aliyekuja nae kwenye kipaza sauti, mamdogo akaropoka β€œNifah njoo”
Tobaaaaa!
Mama mdogo na huyo mchungaji hawakufanya sawa ulikuwa na haki ya kutoka nduki πŸ˜‚
Niliapa sitokaa nikanyage maeneo ya hivyo tena!
Kwa hiyo we bado ni mjaheedin hadi leo?
 
Ila hilo kanisa aiseee, waumini wake wapewe tuzo maana hamna kituko ambacho hakijatokea huko na hawaambiwi juu ya Nabii!
Na ndio kanisa pekee lililofanya shindano la kumsaka miss ngurumo ya upako πŸ˜‚πŸ˜‚

Warembo wa pale wana upako ati πŸ˜‚
 
Hili la kula mbuzi choma pale kwa mromboo limepita bila kupingwa utanijulisha lini upo tayari kisha tutashukia huko mahakama ya mbuzi

Mama mdogo na huyo mchungaji hawakufanya sawa ulikuwa na haki ya kutoka nduki πŸ˜‚

Kwa hiyo we bado ni mjaheedin hadi leo?
Yes, bado mfia dini ila nimelegeza kidogo maana Mungu nae ana yake kanipa Mkristo πŸ₯±πŸ₯±
 
Kumbe huwa wanajali hilo sio kibunda pekee?
Unadhani kuna binti anataka kufiwa kifuani na Mzee, maana Wazee tunajijua tukipewa BlowJob ya kiwango hatuchelewi kuanza kunena kwa Lugha huku tunakabidhi hati za Viwanja na nyumba πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kwahiyo babu huwezi kuweka kibunda chako pale? 🀣🀣
Koh koh koh .....tumbaku ya leo kali sana haki ya nani πŸ˜…πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Na ndio kanisa pekee lililofanya shindano la kumsaka miss ngurumo ya upako πŸ˜‚πŸ˜‚

Warembo wa pale wana upako ati πŸ˜‚
Nimecheka kufaaaa!

Hivi nyie kumbe mna mambo ya ajabu hivyo na hamsemi? Shidano lilifanyika lini?
Eeeh πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Nimecheka kufaaaa!

Hivi nyie kumbe mna mambo ya ajabu hivyo na hamsemi? Shidano lilifanyika lini?
Eeeh πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
Shindano lilifanyika na mrembo mshindi alipatikana. Naweza kukutafutia video yake nitakutumia baadae ushuhudie hilo shindano lilivyo fanyika
 
Back
Top Bottom