Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Bado hujaona mengi, najaribu ku upload video lakini mtandao inazingua, kama una haraka ya kuona video hiyo basi ingia YouTube na uandike miss ngurumo ya upako utaipata hiyo video.

Ila kama huna haraka basi tulia nitakutumia baadae.
Hahaha hilo kanisa lina wehu wengi hahaha hiki nini wanafanya? Hakika hata mimi nilidhani nimeona mengi kweli bado
 
Au kajiunga grid ya taifa? Maana nasikia kwa sasa kujiunga siyo ghali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…