Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Tatizo nyie wadau mlifeli kulipigia promo. Hilo ni shindano kubwa sana kufanyika kimyakimya πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema wewe ulipitwa, wadau walilipigia sana promo huko fb na mie nililikuta huko huko, nashangaa kwa nini mwandishi kama wewe ulipitwa na hiyo event 🀣
 
Miaka - 35

Miss Tanzania 2006 - alikuwa na miaka 18.

Mwaka 2008 - filamu ya Oprah akiwa na miaka 20.

Mwaka 2008 - anafunga ndoa na ndikumana akiwa na miaka 20.
 
Sema wewe ulipitwa, wadau walilipigia sana promo huko fb na mie nililikuta huko huko, nashangaa kwa nini mwandishi kama wewe ulipitwa na hiyo event 🀣
Hili jambo linafaa kuwa na uzi wake kabisa ! Hakuna mwenye taarifa kamili hata video za shindano? Aiseee hii kali ya mwaka sijawai ona duniani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Namba tano nae ni mshindi?

Ama kweli; ukipenda, chongo utaiona kengeza

Asilimu tu asijidanganye, hakuna dini nje ya Uislam.
Bibi mbona unakuaga na wenge sana? Hiyo umetangaza hapo ni dini au umeongea mipasho. Acha ujinga
 
Sema wewe ulipitwa, wadau walilipigia sana promo huko fb na mie nililikuta huko huko, nashangaa kwa nini mwandishi kama wewe ulipitwa na hiyo event 🀣
Tatizo mimi na chanzo changu hatuna interest na hayo mambo ndio maana, tumebase tu kwenye habari za mjini kumbe huko kwingine kumekucha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili jambo linafaa kuwa na uzi wake kabisa ! Hakuna mwenye taarifa kamili hata video za shindano? Aiseee hii kali ya mwaka sijawai ona duniani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio nipo jikoni, jiandaeni mtacheka mfe!

Mimi leo tu nimecheka mpaka basi πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…