Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Miaka - 35

Miss Tanzania 2006 - alikuwa na miaka 18.

Mwaka 2008 - filamu ya Oprah akiwa na miaka 20.

Mwaka 2008 - anafunga ndoa na ndikumana akiwa na miaka 20.
 
Sema wewe ulipitwa, wadau walilipigia sana promo huko fb na mie nililikuta huko huko, nashangaa kwa nini mwandishi kama wewe ulipitwa na hiyo event 🤣
Hili jambo linafaa kuwa na uzi wake kabisa ! Hakuna mwenye taarifa kamili hata video za shindano? Aiseee hii kali ya mwaka sijawai ona duniani 😂😂😂😂
 
Tatizo mimi na chanzo changu hatuna interest na hayo mambo ndio maana, tumebase tu kwenye habari za mjini kumbe huko kwingine kumekucha 😂😂
 
Hili jambo linafaa kuwa na uzi wake kabisa ! Hakuna mwenye taarifa kamili hata video za shindano? Aiseee hii kali ya mwaka sijawai ona duniani 😂😂😂😂
Ndio nipo jikoni, jiandaeni mtacheka mfe!

Mimi leo tu nimecheka mpaka basi 🤣🤣🙌🏾
 
Back
Top Bottom