funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania.
Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga upya.
Wanasema penye udhia penyeza rupia...hatimaye chadema wakachingulia fursa na wakajigeuza NGO ili kupokea fedha rahisi na kuondoka kwenye misingi yake...Dr Slaa akawaacha na chama kikaanza kuishi kwa proposal kama CSOs ....kikaanza kupokea masharti yasio na maadili.
Baada ya damu za watu kumwagika na lengo lao kutotimia sasa akili imeanza kuwarejea lakini it is too late...