CHADEMA ilikuchukulia mume ewe kubwa la majinga a.k.a jingalao!!?Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania.
Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga upya.
Wanasema penye udhia penyeza rupia...hatimaye chadema wakachingulia fursa na wakajigeuza NGO ili kupokea fedha rahisi na kuondoka kwenye misingi yake...Dr Slaa akawaacha na chama kikaanza kuishi kwa proposal kama CSOs ....kikaanza kupokea masharti yasio na maadili.
Baada ya damu za watu kumwagika na lengo lao kutotimia sasa akili imeanza kuwarejea lakini it is too late...
Mimi hukosoa yoyote ambaye ni kilazaCHADEMA ilikuchukulia mume ewe kubwa la majinga a.k.a jingalao!!?
Kama ungekuwa na utimamu wa akili,ungekuwa na upendo kwa Tanzania, na hilo lingepelekea kuikosoa CCM ili ijisahihishe na kuwaletea Watanzania maendeleo.
Propaganda zozote dhidi ya CHADEMA hazitaiokoa CCM na kifo chake, maana Watanzania wa leo sio wajinga, wanaelewa nyeusi na nyeupe pasi shaka.
Shida huna facts, on mara NGO sijui dep green sijui nn? Mnarukia rukiaMara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania.
Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga upya.
Wanasema penye udhia penyeza rupia...hatimaye chadema wakachingulia fursa na wakajigeuza NGO ili kupokea fedha rahisi na kuondoka kwenye misingi yake...Dr Slaa akawaacha na chama kikaanza kuishi kwa proposal kama CSOs ....kikaanza kupokea masharti yasio na maadili.
Baada ya damu za watu kumwagika na lengo lao kutotimia sasa akili imeanza kuwarejea lakini it is too late...
What if wakichagua ACt badala ya Chama chako Chadema?CHADEMA ilikuchukulia mume ewe kubwa la majinga a.k.a jingalao!!?
Kama ungekuwa na utimamu wa akili,ungekuwa na upendo kwa Tanzania, na hilo lingepelekea kuikosoa CCM ili ijisahihishe na kuwaletea Watanzania maendeleo.
Propaganda zozote dhidi ya CHADEMA hazitaiokoa CCM na kifo chake, maana Watanzania wa leo sio wajinga, wanaelewa nyeusi na nyeupe pasi shaka.
Kama kuna kifo cha ccm kwa sababu ya chadomoghasia/tecdema, bas chadomoghasia/tecdema imeisha ozaCHADEMA ilikuchukulia mume ewe kubwa la majinga a.k.a jingalao!!?
Kama ungekuwa na utimamu wa akili,ungekuwa na upendo kwa Tanzania, na hilo lingepelekea kuikosoa CCM ili ijisahihishe na kuwaletea Watanzania maendeleo.
Propaganda zozote dhidi ya CHADEMA hazitaiokoa CCM na kifo chake, maana Watanzania wa leo sio wajinga, wanaelewa nyeusi na nyeupe pasi shaka.
Nani aliyemwaga hizo damu?Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania.