Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini.
Nimegundua CCM inahofu kubwa endapo Lissu atakuwa Mwenyekiti na baadae kuja kuwa mgombea urais kumkabiri Samia ambaye bila shaka atakuwa mgombea wa CCM.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Wasiwasi wa wanaCCM ni kumuona Samia akipambana na Lissu wakati wa kampeni na kupewa makavu bila chega kitu ambacho hawataki kitokee.
Kwa hulka ya Samia (as a female) hapendi kusikia hash language anazotoa Lissu anapenda kusikia soft words kama alizokuwa anazipata chini ya uongozi wa Mbowe (aka Maridhiano).