Baada ya kuona Mbowe anapigiwa kampeni na machawa wa CCM, naona Lissu ni mgombea sahihi kwa sasa

Mmh, na wewe unataka kujaa kwenye ujanja wa kishamba huo?

Wanafanya hivyo ili usigundue kuwa Lissu yuko compromised! Wakimuunga mkono Lissu hadharani si utagundua mzee baba?
Duh awe compromised na waliotaka kumuua? basi atakuwa juha au mimi ndiye nipo compromised.
 
Hahahaaaa, eti wewe ndiye uko compromised! Nimecheka sana.

Hakuna uthibitisho kwamba Lissu yuko compromised, lakini ni uhakika kuwa Mbowe ni kiongozi bora wa chama,

CCM kujidai wanamuunga mkono Mbowe hadharani ni njama ya kumkosesha Mbowe imani kwa wana CDM.

Ni mbinu iliyo wazi sana.
 
Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini.

Nimegundua CCM inahofu kubwa endapo Lissu atakuwa Mwenyekiti na baadae kuja kuwa mgombea urais kumkabiri Samia ambaye bila shaka atakuwa mgombea wa CCM.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Wasiwasi wa wanaCCM ni kumuona Samia akipambana na Lissu wakati wa kampeni na kupewa makavu bila chega kitu ambacho hawataki kitokee.

Kwa hulka ya Samia (as a female) hapendi kusikia hash language anazotoa Lissu anapenda kusikia soft words kama alizokuwa anazipata chini ya uongozi wa Mbowe (aka Maridhiano).
Ndicho wanachokitaka. Wanajua wakimpigia chepuo Mbowe mtampigia kura Lissu ambae kwa upande wa strategy hamfikii Mbowe. Anayeogopwa ni Mbowe sio Lissu.

Amandla...
 
Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini.

Nimegundua CCM inahofu kubwa endapo Lissu atakuwa Mwenyekiti na baadae kuja kuwa mgombea urais kumkabiri Samia ambaye bila shaka atakuwa mgombea wa CCM.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Wasiwasi wa wanaCCM ni kumuona Samia akipambana na Lissu wakati wa kampeni na kupewa makavu bila chega kitu ambacho hawataki kitokee.

Kwa hulka ya Samia (as a female) hapendi kusikia hash language anazotoa Lissu anapenda kusikia soft words kama alizokuwa anazipata chini ya uongozi wa Mbowe (aka Maridhiano).
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa au kuiambia serikali ieleze uchunguzi wa mauaji ya Mzee Kibao ymefikia wapi..kungekuwa na tija sana! na hapo ndio mlicho nacho kichwani mwenu kinaonekana mko upande gani na mna lengo gani..!
 
Ila lisssu ataua watu mwaka huu maana hanaga kauli za kubebembeleza yeye ananyoola shwaa hana unafiki hata sumuni .
Ili awe kiongozi mzuri Lissu anatakiwa awe na break ya maneno au awe na washauri wazuri.
 
CCM iingilie uchaguzi wenu wa ndani, ili iwaje? Acheni kuitukanisha CCM bure, CCM ni Chama cha mfano duniani, nyie CDM hata uchaguzi wenu tu wa ndani mnataka kutoana roho, alafu mnatusingizia CCM, malizaneni wenyewe huko mtajua na dikteta wenu Mbowe.

Alafu CDM kwani kugombea Urais ni lazima uwe Mwenyekiti? Mbona kama hata hamjijui?
 
Ili awe kiongozi mzuri Lissu anatakiwa Lissu awe na break ya maneno au awe na washauri wazuri.
Kwan anakosea anayosema..? Je sheria inasemaje katika hilo.? Ukute sisi ndio tuna kosea.
 
Wana CHADEMA wote wenye akili Timamu hawezi kukubali kumkabidhi lissu chama ili aanze kukiendesha kihuni huni kwa kushirikiana na wanaharakati uchwara. Kwanza ataongoza vipi CHADEMA wakati muda wote Anashinda akizurura nje ya Nchi?
Ukitajwa tu umefika mzee wa KUBUBUJIKWA na machozi.
 
Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini.

Nimegundua CCM inahofu kubwa endapo Lissu atakuwa Mwenyekiti na baadae kuja kuwa mgombea urais kumkabiri Samia ambaye bila shaka atakuwa mgombea wa CCM.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Wasiwasi wa wanaCCM ni kumuona Samia akipambana na Lissu wakati wa kampeni na kupewa makavu bila chega kitu ambacho hawataki kitokee.

Kwa hulka ya Samia (as a female) hapendi kusikia hash language anazotoa Lissu anapenda kusikia soft words kama alizokuwa anazipata chini ya uongozi wa Mbowe (aka Maridhiano).
Quinine mimi mwenyewe nilikushangaa kwa uzoefu wako unachelewa sana kung'amua mambo. Ulinisikitisha aisee.
 
Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini.

Nimegundua CCM inahofu kubwa endapo Lissu atakuwa Mwenyekiti na baadae kuja kuwa mgombea urais kumkabiri Samia ambaye bila shaka atakuwa mgombea wa CCM.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Wasiwasi wa wanaCCM ni kumuona Samia akipambana na Lissu wakati wa kampeni na kupewa makavu bila chega kitu ambacho hawataki kitokee.

Kwa hulka ya Samia (as a female) hapendi kusikia hash language anazotoa Lissu anapenda kusikia soft words kama alizokuwa anazipata chini ya uongozi wa Mbowe (aka Maridhiano).
Mimi ni free thinker
 
Asante kwa kulioni hili.
 
Tulia Mwamba Lissu anakuja
Mimi nasubiria muongozo kutoka kwa Erythrocyte maana huyu ndio yupo ndani kabisa ya chama amekipambania mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, kata kwa kata, kijiji kwa kijiji akisema twende na huyu basi mchezo unakuwa umekwisha wazee tunapiga kampeni
 
Huyo Chawa tu na yeye anaangalia upepo
 
Back
Top Bottom