Baada ya kuona Mbowe anapigiwa kampeni na machawa wa CCM, naona Lissu ni mgombea sahihi kwa sasa

Mbowe Yuko approachable mnaweza jadili huyo mropokaji wewe uanweza jadili nae nini? πŸ˜†πŸ˜†
Ni kweli, Lisu hawezi kuwa approached na wahuni watoa rushwa kama Abdul, huyu ndiye anayefaa kuwa kiongozi, kwa sababu anachukia uhuni na rushwa.
 
Wasiwasi wa wanaCCM ni kumuona Samia akipambana na Lissu wakati wa kampeni na kupewa makavu bila chega kitu ambacho hawataki kitokee.
Ni kweli Lissu ni mropokaji asiye na breki, asije kutuchafulia bure kwa makavu live
Kwa hulka ya Samia (as a female) hapendi kusikia hash language anazotoa Lissu anapenda kusikia soft words kama alizokuwa anazipata chini ya uongozi wa Mbowe (aka Maridhiano).
Naunga mkono hoja nami nimeshauri Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!
P
 
I
Ngoja tuone !
 
Ili uwe na nguvu ya kupiga kelele kina Soka warudi unahitaji kwanza kujenga taasisi imara huwezi kupiga kelele peke yako au na taasisi legelege.
 
Angalau Chadema wanataka kutoana roho CCM huwa wanauana kabisa.
 

Mbowe Yuko approachable mnaweza jadili huyo mropokaji wewe uanweza jadili nae nini? πŸ˜†πŸ˜†
 
Mbona KM - CCM alisema hadharani kuwa ni Mbowe rafiki yake.
 
Wana CHADEMA wote wenye akili Timamu hawezi kukubali kumkabidhi lissu chama ili aanze kukiendesha kihuni huni kwa kushirikiana na wanaharakati uchwara. Kwanza ataongoza vipi CHADEMA wakati muda wote Anashinda akizurura nje ya Nchi?
Huu ni uzwazwa ,chama bado kinawaitaji wote lissu na mbowe , lissu anaweza leta amsha amsha kubwa ndani ya chama na anaweza kufanya vizuri tu ndani ya chama ,shida kumekuepo upambe wa kipumbavu , watu wanaweka nguvu kwa watu bila kutoangalia future ya chama kwa badae ,ujinga mtup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…