Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

Inategemea na akili za mwanaume....naweza kukuta mshikaji ni ndezi....akimpa hizo 5mill...akamwendea kwa mganga...dada akawa ndezi kabisa...hahahaha...bora amnyime tu...asubiri watoto wakijitambua awagawie mitaji
 
Acheni uchoyo wanawake wenzangu.

Akimnyima, hizo hela zitaisha tu, kama sio kwa matumizi mabaya basi kudhulumiwa au kupata hasara.

Japo sijajua ugomvi wao ukwapi, lakini kutoa 2M ni rahisi sana.

Maisha mafupi haya.
Sawa yeye amwambie tu ukweli kwamba siwezi kukupa pesa hata mia mbovu....mpaka chanzo cha matatizo yetu yatakapo isha kwanza....
 
Kwenye dola hapo ni bonge la akili kichizi
 
Bia tamuu, ni mitungi nasema bia tamu[emoji444]
 
Nimependa sana ulivyoandika, short and clear halafu imeelewa.
 
Ishu itakuja kama mna watoto wanasoma Sasa hivi atakuachia majukumu yote ,kila ikitokea kitu atasema sina hela
 
Historia fupi sana mnajua wenyewe mnavoishi.
 
Historia fupi sana mnajua wenyewe mnavoishi.
 
Sister yangu alipigwa KO mpaka kesho huwa nikimfikiriaga namuonea huruma sana, kuna wanaume mafundi sana na kama anaujulia udgaifu wako lazima utaingia Kingi.
Tulia kimya na pesa zako, kwanza hazimuhusu.
Biashara zisizo na stress zipo nyingi ila wazo la kununua ardhi ndio makini zaidi. Ukiona vipi zifunge kwemye FIXED Deposot mwaka mzima hata kama utapat faida kidogo lakini zinakuwa salama.
 
Tiyari umeshamuelewa mwenzako.Sasa Kazi kwako
 
Nyuma ya mahusiano YEYOTE yale kuna MASLAHI , yale maslahi yakiondoka na mahusiano yanakufa
 
Endeleza msimamo wa kila mtu alale kwake, si mlikubaliana hilo?
 
Migogoro ilianza zamani jamani mpk chumba walikua hawalali pamoja. Hivyo sioni kama ndoa ina muda mrfu hii itasambaratika
 
Migogoro ilianza zamani jamani mpk chumba walikua hawalali pamoja. Hivyo sioni kama ndoa ina muda mrfu hii itasambaratika
Umefukua kaburi

Ila kuna kitu nimeona hapa, huyu bi dada, ametoka familia ya kishua...

Sasa atakuwa anakiburi cha pesa za kwao...
Hana heshima kwa mumewe...
 
Umefukua kaburi

Ila kuna kitu nimeona hapa, huyu bi dada, ametoka familia ya kishua...

Sasa atakuwa anakiburi cha pesa za kwao...
Hana heshima kwa mumewe...
Ana matatizo shoga yetu huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…