SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo mpigaji tuMiezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu.
Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa haeleweki tangu mirathi imetoka kawa mpole mapenzi motomoto simuelewi kaamua kujirekebisha au nii hii mirathi anaiwinda.
Hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nini.
Ndio umeamua kufufua nyuzi zote za mleta madaAseee
Hapana mkuu nimekosa usingizi sasa nifanyaje πππNdio umeamua kufufua nyuzi zote za mleta mada
Pole aisee, kukosa usingizi ni changamoto kubwa kidogo, ila uzi wa nne kama sio wa tano unaufufua πHapana mkuu nimekosa usingizi sasa nifanyaje πππ
Hahaha makaburi lazima yatoke na mizimu ya wafu πππ€£Pole aisee, kukosa usingizi ni changamoto kubwa kidogo, ila uzi wa nne kama sio wa tano unaufufua π
Fresh bwana, ila mleta mada fix nyingiπHahaha makaburi lazima yatoke na mizimu ya wafu πππ€£
HahahaMuda huu tunapoongea mleta uzi analogwa hatashaurika tena, hii imeenda