Moderator kaweka kichwa cha habari kwa matamanio yake..Kilichokuwepo kabla kilikuwa ni bora zaidi.Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu.
Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa imeridhika kuwa waarabu wote ni kama maboya tu.Sasa hivi wamejiamini kuichokonoa Uturuki ambapo hapo jana jeshi la Israel liliendelea kupiga maeneo kadhaa ya Syria hasa hasa zilizokuwa kambi za jeshi za Bashar Al Assad.Njia za kufikia kambi hizo zimebomolewa na makombora kutoka angani ili Uturuki isiweze kuzifikia na kuzitumia.
Israel inafanya hivyo huku ikijua kuwa yenyewe inachukua maeneo ya nchi hiyo na ambayo yapo chini ya makatazo ya maazimio ya Umoja wa mataifa.Imekuwa ikitoa amri kwa watawala wapya wa Syria kutopeleka vikosi vyake maeneo mengi ya kusini mpaka kusini ya mji mkuu wa nchi hiyo.
Inashangaza sana akili za Netanyahu na Trump zilivyo na ambazo zinawachokoza mataifa na kila mtu.Kile wanachopenda wakipate na wanachofanya wao huwa hawapendi wengine wavipate wala kufanya kama wanavyopenda hata kama ni haki na viko chini ya mamlaka zao.
Moderator ni wale wanaoamini netanyahu ni mteule wa MunguModerator kaweka kichwa cha habari kwa matamanio yake..Kilichokuwepo kabla kilikuwa ni bora zaidi.
Kwahiyo Israel wanakimbilia milima ya Golan🤣Ilishaandikwa kuwa mtakapo ona chukizo haribifu limesimama mahala patakatifu
Basi na kila mtu akimbilie milimani maana halitasalia jiwe ju ya jiwe.
ukiwa ni binadamu usiwe jeuri kiasi hicho.Wenzako watakuchoka na kukutafutia mbinu.Uturuki ibinywe tu, inataka kuwa na ushawishi mashariki ya kati na kuwa tishio kwa Israel. Israel ichukue hatu za kujilinda na majirani zake wengi wao wakiwa ni maadui zake
Hivi Hezbu bado wapo. Siwasikii tena😎Wakiendelea kuchokoza bila tahadhari watashushwa tu na Hizbullah na akina HTS.
anachokitaka uturuki kwa israel atakipataukiwa ni binadamu usiwe jeuri kiasi hicho.Wenzako watakuchoka na kukutafutia mbinu.
Si maumbile ya binadamu kukubali kutawaliwa na kuendeshwa na binadamu mwenzake.
Israel inayo sababu za kujilinda dhidi ya maadui zao. Uturuki idhibitiwe isiweze kujipenyeza huko mashariki ya katisubiri tuone kinachokuja.
Kwahiyo Israel wanakimbilia milima ya Golan
Napenda hii vita ipiganwa kati ya israel na uturukianachokitaka uturuki kwa israel atakipata
Mbona hapa nchi mi ccm inawaendesha inavyotaka? Au nyie ni mbuzi?ukiwa ni binadamu usiwe jeuri kiasi hicho.Wenzako watakuchoka na kukutafutia mbinu.
Si maumbile ya binadamu kukubali kutawaliwa na kuendeshwa na binadamu mwenzake.
km ni ivyo mod kichaaModerator ni wale wanaoamini netanyahu ni mteule wa Mungu