Baada ya kuona Rais wa Uturuki anaitamani sana Syria, Benjamin Netanyahu aizibia njia Uturuki

Baada ya kuona Rais wa Uturuki anaitamani sana Syria, Benjamin Netanyahu aizibia njia Uturuki

Moderator kaweka kichwa cha habari kwa matamanio yake..Kilichokuwepo kabla kilikuwa ni bora zaidi.

Kha nilijua wewe ni staff JM maana haipiti hata dakika moja haujalialia kuhusu HAMAS huku pia ukiwashabikia, nikawa najiulliza unaishije mjini, au utakua sheikh unayeishi kwa sadaka.
 
Hivi Hezbu bado wapo. Siwasikii tena😎
Waisrael watakumeza mzima mzima,,walikuwa na kituo Cha anga kikubwa kuliko vyote,Hizb-Allah,wakakisaga kiasi kwamba huwezi kuokota hata kiatu kibovu.
Jakamoyo halikuishia hapo,ndege za Israel zikiondoka kwenda kushambulia,zikirudi zinakuta ule uwanja walipoondokea umeshabomolewa.,
 
Kwani mashariki ya kati ipo kwa ajili yao pekee kwamba wengine wote wasikaribie.
Wanajidanganya
Uturuki itathibitiwa. Itake isitake karne ya 17 Costantinopolis ilikuwa ichukuliwe na Russia, UK na France wakaitetea Ottoman wakabakiwa na huo mji. Safari hii akikinukisha tu IDF na USA navy watakuwa viunga vya Fatih wakila kebabs na shawarma
 
Back
Top Bottom