DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kuna wakati hao la pili B mbona wanawazidi mawazo ma Prof na Dr, una taarifa kuwa msukuma ana mawazo makubwa kuliko ya Prof kabudi kwa sasaWamewaonea tu, mbona bungeni darasa la pili B na profesa wote mawazo na michango yao inafanana.
Chumvi akose bhanaa vyeti mkuu😀😀😀😀..Chumvi alikuwa anaharibu Sana
🤣🤣Wamewaonea tu, mbona bungeni darasa la pili B na profesa wote mawazo na michango yao inafanana.
Sasa wale wenye hela si watajifanya wako shule kumbe wameenda kununua cheti...
Issue form four mkuu unafikiri kwann kina KP wamekosa ?Chumvi akose bhanaa vyeti mkuu😀😀😀😀..
Chumvi umsikii maana mama kizimkazi kampaa kazi maalumu mpk uchaguzi upitieeee😀😀😀
Ohooo hapo Sasa...ila watu Wana konekshen mjini...si watasoma QT ..wanapewa possible za mtihani wanapiga wanafaulu...kwa wenye pesa na koneskhen mjini akina chumvi hio itakua rahisi tu...shida kwa Hawa wengine ndio itabidi wakapige msuli ambao hawajasoma form 4 waanze kwenda shuleNasikia shida sio cheti Ila kuna ile code ambayo waki scan wanaona hadi matokeo yako ya form four
Cha kushangaza, hao 'wasiosoma' ndio wanaotunga sheria, zikiwemo na hizo za kuwabana wasiosoma, kwenye maeneo mengine, tofauti na Bungeni!Wamewaonea tu, mbona bungeni darasa la pili B na profesa wote mawazo na michango yao inafanana.
Hapo sasaCha kushangaza, hao 'wasiosoma' ndio wanaotunga sheria, zikiwemo na hizo za kuwabana wasiosoma, kwenye maeneo mengine, tofauti na Bungeni!
Lengo ni nini, kama ni uchumi basi redio zijiandae kupoteza wafuasi.Mimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi .
Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika hali yake. Asante Sana Serikali kwa hili.
Mfano yule Chumvi alikuwa anaharibu Sana .
Dah wewe jamaa unanifurahisha kweli.Maulid Kitenge alikua na kelele sana alinifanya nichukie kusikiliza Radio
Lengo ni nini, kama ni uchumi basi redio zijiandae kupoteza wafuasi.
Maana uchumi unategemea demand ya soko, na katika radio soko linahitaji watu kama wale(influencers na entertainers).
Kwahiyo vituo vya burudani wasiwekewe sheria nyiingi za kiweredi bali wazingatie vipawa vy. Redio presenter.