Baada ya kuondoa watangazaji wasio na Diploma, radio zimeanza kuwa na ladha fulani nzuri

Baada ya kuondoa watangazaji wasio na Diploma, radio zimeanza kuwa na ladha fulani nzuri

Kuna wakati hao la pili B mbona wanawazidi mawazo ma Prof na Dr, una taarifa kuwa msukuma ana mawazo makubwa kuliko ya Prof kabudi kwa sasa
Ushasema “kuna wakati” hata saa mbovu kuna wakati inasema kweli. Sisi tuna taka Most of the time.
 
Kwa hiyo na Dr Isaac Maro wa Clouds naye kapigwa chini?
kama ana diploma utamsikia … kama hana piga chini maana hata yeye hata ruhusu mwandishi wa habari amsaidie kutibu wagonjwa hospitali
 
kama ana diploma utamsikia … kama hana piga chini maana hata yeye hata ruhusu mwandishi wa habari amsaidie kutibu wagonjwa hospitali
Pale CMG watangazaji wao waliwasomesha baada ya Serikali kuweka hicho kigezo .

Ila wale ambao walikuwa hawana cheti cha form four ndo nafikiri hawakusoma kwa kukosa Qualifications
 
Ko Kp Haja piga form four au alipoteza vyeti? Maana aliwahi fanya kazi Hadi GGM tena kitengo kikubwa tu
GGM ile ni private Company hata ukiwa la 7 Ila una skills zinazo match na Kazi zao Unapata Kazi .
 
vijana wakibongo waliosoma soma vyuo wana roho mbaya sana, wivu unawatesa sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom