Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Hivi kumbe kuna Radio
Leo ndio naikumbuka
Leo ndio naikumbuka
KabisaMhmm utangazaji naona ni kipaji zaidi ya elimu 🤔
Na ile kangaMimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi .
Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika hali yake. Asante Sana Serikali kwa hili.
Mfano yule Chumvi alikuwa anaharibu Sana .
Mhmm utangazaji naona ni kipaji zaidi ya elimu 🤔
Mtihani wa Form four hauna ujanja nadhani hiyo ndo taasisi pekee huwa inatoa haki.Ohooo hapo Sasa...ila watu Wana konekshen mjini...si watasoma QT ..wanapewa possible za mtihani wanapiga wanafaulu...kwa wenye pesa na koneskhen mjini akina chumvi hio itakua rahisi tu...shida kwa Hawa wengine ndio itabidi wakapige msuli ambao hawajasoma form 4 waanze kwenda shule
Upo sahihi mkuu, Huyu jamaa hua anapiga kelele tuu Ila point ni 0Maulid Kitenge alikua na kelele sana alinifanya nichukie kusikiliza Radio
Ukimuona mchezaji anakimbia kimbia Sana uwanjani ujue Ana poor performanceUpo sahihi mkuu, Huyu jamaa hua anapiga kelele tuu Ila point ni 0
NomaKweli Ila ndo hivyo mkuu wamekatwa tayari.
Ukisikiliza radio kwa sasa uta Enjoy hakuna kelele ukimya umetawalaNoma
Kumbe , hongereni sana wasikiliza redio mkuuUkisikiliza radio kwa sasa uta Enjoy hakuna kelele ukimya umetawala
N'yadikwaMimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi.
Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika hali yake. Asante Sana Serikali kwa hili.
Mfano yule Chumvi alikuwa anaharibu Sana.
Nipo nasikiliza TBC international online ni raha tupu kuna nyimbo ya r Kelly Comeback sio poaKumbe , hongereni sana wasikiliza redio mkuu
🚮🚮Kuna wakati hao la pili B mbona wanawazidi mawazo ma Prof na Dr, una taarifa kuwa msukuma ana mawazo makubwa kuliko ya Prof kabudi kwa sasa
Unamaanisha Mohamed chumvi wa eatv saa1 auMimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi.
Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika hali yake. Asante Sana Serikali kwa hili.
Mfano yule Chumvi alikuwa anaharibu Sana.
Inawezekana kawazidi mawazo akina Prof Maji Marefu.Kuna wakati hao la pili B mbona wanawazidi mawazo ma Prof na Dr, una taarifa kuwa msukuma ana mawazo makubwa kuliko ya Prof kabudi kwa sasa
Chumvi mzee wa minyama KangaUnamaanisha Mohamed chumvi wa eatv saa1 au