Baada ya kuondoa watangazaji wasio na Diploma, radio zimeanza kuwa na ladha fulani nzuri

Na ile kanga
 
Mtihani wa Form four hauna ujanja nadhani hiyo ndo taasisi pekee huwa inatoa haki.
 
Mimi ndio nasikiliza leo kama washaondolewa
 
N'yadikwa
 
Unamaanisha Mohamed chumvi wa eatv saa1 au
 
Kuna wakati hao la pili B mbona wanawazidi mawazo ma Prof na Dr, una taarifa kuwa msukuma ana mawazo makubwa kuliko ya Prof kabudi kwa sasa
Inawezekana kawazidi mawazo akina Prof Maji Marefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…