Baada ya kuondoa watangazaji wasio na Diploma, radio zimeanza kuwa na ladha fulani nzuri

Chinvi zimeondoka.......walikuwa wanaleta kelele tu
 
Sasa chumvi kawa majivu
 
Diploma anaweza kuchambua mambo gani ya msingi kwa taifa? Kazi ya utangazaji ni kuchambua? Waache ngano na magugu vyote vikue, sisi wasikilizaji tutachambua wenyewe.
Degree mnavyo idharau diploma duh af akili ya mtu haipo kwenye cheti pekee matendo mawazo na hatua zake
 
Issue form four mkuu unafikiri kwann kina KP wamekosa ?
Hadi KP hana?
Kuna kipindi alikuwa anasoma Project Management level ya dip au bachelor degree Sasa alipataje nafasi?
Au ndiyo vyuo binafsi hawajui kukagua vyeti.
Aisee pole yake.
 
Diploma anaweza kuchambua mambo gani ya msingi kwa taifa? Kazi ya utangazaji ni kuchambua? Waache ngano na magugu vyote vikue, sisi wasikilizaji tutachambua wenyewe.
Diploma sio kwa ajili ya uchambuzi ni kwa ajili ya uanahabari, nani alikwambia mwanahabari anachambua?

Wachambuzi wataalikwa kutoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…