Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Pambana kadri uwezavyo lakini duniani hakuna usawa na haki,usawa na haki unaanzia kwenye kifo,kifo anachokufa masikini ndio kilekile anachokufa tajiri,pepo anayoingia tajiri ndio ileile anayoingia masikini,moto anaochomwa tajiri ndio uleule anaochomwa masikini.

Kwenye kifo hakuna tume ya kuwaengua wengine wala kuwekeana mapingamizi.
 
Wala hupajui, video tu imekuchanganya.
Kajenga uswahilini kazungukwa na waswahili ila pembeni kuna mshua mmoja tu, ana eneo kubwa.
Kajenga nyumba kwa ndaani kaweka paving blocks.
Sasa ukitaka upate kichaaa kutafuta hela nenda mbweni malindi.

Kuanzia kona ya kuingia mbweni njoo kata kushoto uchungulie kulia kwako au nyoosha kama unaenda jkt kuelekea malindi uchungulie kushoto kwako utalaani kuzaliwa.

Mafuru kajenga uswaaa sana na nasikia eneo alipwa na ba mkwe mzee marehemu SHAO, EX EMPLOYEE TANESCO
 
Kuna watu wanaishi PEPONI kabla hata w
hawajafa. Kuna wengine tunaishi JEHANAMU kabla hata ya kufa!
Usawa wa Binadamu, upo kwenye KUKATA ROHO tu! Hata MAZISHI hatufanani!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…