The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndio nani huyo huko Daslam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una hakika gani sisaidii watu?Uache kutoa charities saizi usubirie baada ya Kufa? Mwenzako ameachia mbwa Urithi wa mabilioni kisa ujinga kama huo.
Acha legacy Kwa kusaidia watu saizi Ili na kizazi chako kisalie kwenye kumbukumbu.
Kapicha kdgNiliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
😂😂😂😂🦶🦶Huyo mchanga haumhusu,wataweka tiles,na maji ya baraka.
Mbona mapovu! Kaongelea nyumba yake na sio wanaomzunguka! Wivu utakuua wewe!Wala hupajui, video tu imekuchanganya.
Kajenga uswahilini kazungukwa na waswahili ila pembeni kuna mshua mmoja tu, ana eneo kubwa.
Kajenga nyumba kwa ndaani kaweka paving blocks.
Sasa ukitaka upate kichaaa kutafuta hela nenda mbweni malindi.
Kuanzia kona ya kuingia mbweni njoo kata kushoto uchungulie kulia kwako au nyoosha kama unaenda jkt kuelekea malindi uchungulie kushoto kwako utalaani kuzaliwa.
Mafuru kajenga uswaaa sana na nasikia eneo alipwa na ba mkwe mzee marehemu SHAO, EX EMPLOYEE TANESCO
Haya kajenge hekalu ili ufe uwaachie wajanja urithi.Sasa mkuu, Asingekua na hekalu mchanga asingelamba? Umasikini sio tiketi ya kutokufa.
Wenye hekalu wana na mafriji ya kuweka kitimoto pia.Haya kajenge hekalu ili ufe uwaachie wajanja urithi.
Mimi pesa zangu ni za kula tu, nitakula kitimoto kweRi kweRi ili nikifa funza wafaidi vizuri.
Kwanza Duniani tunapita tu ....tusijenge barabarani.Unajiona unasafari ndefu kwani duniani umekuja kushindana? Ndiomaana mnakufa kwa mapresha&magonjwa ya moyo kwa kushindana na uhalisia.
Dunian hatuko sawa na hatutokuja kuwa sawa, mind yourself acha tamaa&mashindano utakufa siku si zako
Mwisho wa siku hata urundike pesa kiasi gani unakuta haijakidhi haja Yako ndio maana matajiri wanaishia kugawa tuu Kwa wenye uhitaji ndio walau unapata Ile sense ya shukrani 👇👇Haya kajenge hekalu ili ufe uwaachie wajanja urithi.
Mimi pesa zangu ni za kula tu, nitakula kitimoto kweRi kweRi ili nikifa funza wafaidi vizuri.
Jengenii tuu, mimi sifanyi ujinga huo.Wenye hekalu wana na mafriji ya kuweka kitimoto pia.
Sasa Kwanini usijenge banda ukaishi nao tu kabisa mkuu?Jengenii tuu, mimi sifanyi ujinga huo.
Hapa nawaza nitafute gari kali ndogo ndogo hivi niwe nadrive huku nakula kitimoto.
Najua siku nakufa na gari nalo litakuwa limekufa.
Mwisho wa siku hata urundike pesa kiasi gani unakuta haijakidhi haja Yako ndio maana matajiri wanaishia kugawa tuu Kwa wenye uhitaji ndio walau unapata Ile sense ya shukrani 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCR6VjYifvM/?igsh=Z2FocWtkM3BjdWhy
Moto wa Mungu unaujua au unapayuka tuu?tafuta Mungu kwanza, vyote alivyotafuta ameviacha, kinachomatter ni huko alikoenda, alifanya maandalizi au ndio anaungua moto. where will you spend your eternity, that's what matters, itamfaa nini mtu kuupata ulimwengu huu wote, iwe kwa haki au bila haki, lakini mwisho wa siku akapoteza nafsi yake katika moto wa milele? sio siku moja au mbili ni milele!
ni kweli tunatakiwa kutafuta maisha, ila Mungu kwanza, okoka umpe Yesu maisha ili ukifa awe amekuandalia mahali pazuri, kuliko kufa na ukawa huna pa kwenda ila motoni. wengi mnajidanganya huko ukatolikini na dini zingine kwamba mtu akifa unaweza kumwombea siku ya mazishi akasamehewa dhambi zake, ingekuwa hivyo Mungu asingekukataza dhambi, kwa sababu ingekuwa rahisi tu, unafanya dhambi upendavyo na hatima yako ipo mikononi mwa padre kukuombea msamaha siku ya mazishi then unaenda mahali pazuri. ukweli ni kwamba, padre naye anatoa hesabu binafsi mbele za Mungu, Biblia inasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, hata baba hatachukua mzigo wa mwanae wala mwana mzigo wa babaye, kwa sababu kila mtu atatoa hesabu yake binafsi. baba hawezi kuomba msamaha badala ya mwana, unatakiwa kutubu binafsi, na nafasi hiyo ipo ungali hai, ukifa hauna nafasi kutubu,mlango umefungwa. tunawaambia haya ili kunawa mikono, damu yenu haitadaiwa mikononi mwetu siku mkitupwa jehanum. Mungu awasaidie muelewe.
"Not to that extent"Sasa Kwanini usijenge banda ukaishi nao tu kabisa mkuu?