Baada ya kupewa Talaka, Wastara Sasa Hali Mbaya

Baada ya kupewa Talaka, Wastara Sasa Hali Mbaya

Yatima ni mwenye Chini ya 18 tu, kama ukihesabu Yatima kama ya wastara basi karibu wana jf wote tutakuwa mayatima tu
Duu mkuu hii ndio naskia kwako leo ,walio ondokewa na wazazi wao ambao ni over 18 wanaitwaje ,dah pole
 
Nadhani unachojaribu kusema ni kuwa,Mtu aliye above 18 kulialia shida kwa kigezo cha uyatima sio sawa..
Yes mkuu, napia mtu juu ya 18 sio yatima, baba yangu Ana 70 Lakini wazazi wake wote walishafariki miaka, je ataitwa yatima?
 
Yes mkuu, napia mtu juu ya 18 sio yatima, baba yangu Ana 70 Lakini wazazi wake wote walishafariki miaka, je ataitwa yatima?
Yap..Huyo ni Yatima..Yatima ni mtu aliyepoteza wazazi wake wote wawili..Haijalishi una umri gani
 
Yap..Huyo ni Yatima..Yatima ni mtu aliyepoteza wazazi wake wote wawili..Haijalishi una umri gani
Hebu kasome katiba ya nchi kidogo, yatima ni mtu wa aina gani utapata kujielimisha kiasi mkuu
 
Inaonekana anapenda ndoa nitaingia kwa gia ya ndoa na mm nijichukulie mtoto
 
Hajatulia tulia huyu dem mapepe!...
Nadhani Mwanamke anaye olewa na kuachika hata mara moja tu inabidi unapo jenga wazo la kutaka kumuoa utulize kichwa na kujua undani wake ujue mwenzako alifikiaje maamuzi hayo,sasa huyo wakuachika mara mbili mara tatu na bado ukajitosa hilo ni janga.
 
Juu ya 18 ni mtu mzima boss, Chini ya 18 ndio yatima, mtu hawezi kufika 30 bado yatima,
Duuu aisee asante kwa hili japo mimi nitaendelea tu kuamini yatima ni yatima hata awe na umri gani

An Orphan a child who has lost both parents

Sasa kama ni mtoto hata awe na umri gani bado ataendelea tu kuwa mtoto kwa wazazi wake
 
Hebu kasome katiba ya nchi kidogo, yatima ni mtu wa aina gani utapata kujielimisha kiasi mkuu
Mkuu Katiba inaweza ikawa inamuelezea yatima katika mana nyingine lakini hiyo haimaanishi hilo neno ndo liko hivyo katika kiswahili sanifu..Btw ntajaribu kulifwatilia hili..Uenda pia nikawa siko sahihi juu ya tafsiri ya neno hili..mana maneno mengi sometimes tunayatumia kwa mazoea..Mwingine hapa ananiambia mtu akishabalehe tu haipaswi kuitwa yatima..
 
Back
Top Bottom