Baada ya kupewa Talaka, Wastara Sasa Hali Mbaya

Baada ya kupewa Talaka, Wastara Sasa Hali Mbaya

Nyie hamjui tuu...Hawa walioana kibiashara kutimiza maslahi ya kila pande!ni hivi; wastara aliumia mguu so akahitajika mil 32 akatibiwe mguu india na ye hizo hela angezitoa wapi wakati maisha yake ya kibongo muvi ya kubangaiza na mpenzi wake aliekuwa anapendana nae kweli mda huo ni bond(licha ya huyu kijana bond kuandamwa na kashfa na skendo kibao za kuwabambika mimba wadada na kuwakataa bado wastara akaendelea nae...Kweli walipendana).Na bond pia hakuwa na uwezo wa kugharamia matibabu ya wastara!
Baada ya mda wastara akaombwa ndoa ya fasta na ya siri na mheshimiwa kwamba akimuoa atampelka india kutibiwa na gharama zote atalipa (hapa mheshimiwa alitaka kufidia gharama zake za india kwa kuila papuchi ya mtoto mzuri but aliogopa kuzini coz ana ndoa na ingekuwa kashfa ye kutembea nje ya ndoa ukizingatia cheo chake na heshima na ndoa yake anaipenda hakutaka ife ndo mana akaingia gia ya kuoa sabb anajua angeweza kumpa talqka hata wakitibuanq kidg sio kama ndoa za kikristo hakuna kuachana ispokua uasherat,so akaamua kuila papuchi kihalali na kufidia yake hela cz mjini hakuna cha bure!)
Wastara sabb alikua desperate kupona mguu wake na akakubali upesi na akiwa kwenye uhusiano na bond,kesho ndo harusi ifungwe,akamjulisha anampenda but hana jinsi imebidi aolewe ili aende india,bond alijarbu kumshawishi ikashindikana!na kesho wastara anaolewa kwao bond hakuamin kama ni kweli akajaribu kunywa sumu but aliokolewa na ndugu zake!
So hapo mmeona hao watu hawakupendana na biashara imeisha ndo mana wamezinguana.Wastara anampenda wake na yupo anaempenda labda ye hakujua kwamba huku anaolewa kimaslahi na hajapendwa na hakupata mda wa kufikiria cz ilikua ghafla.
 
Huyu nae ana matatizo yake sio bure.Anayaanzisha matatizo mwenyewe halaf anataka huruma ya watu.Sadifa alieleza sababu kuwa wastara anataka apewe mtaji mamilioni ya pesa laasivyo alitishia kuondoka.Labda angejiuliza huyo mke mwenza wake aliyemkuta ana biashara? Natena nashukuru bingwa wa matusi sadifa hajayafungulia,angepelekwa ICU
 
32m kwa ajili ya mguu tu....au kaweka gharama za ticket,malazi mana ni nyingi sana isije kua kaongeza sifuri
 
Duuu aisee asante kwa hili japo mimi nitaendelea tu kuamini yatima ni yatima hata awe na umri gani

An Orphan a child who has lost both parents

Sasa kama ni mtoto hata awe na umri gani bado ataendelea tu kuwa mtoto kwa wazazi wake
Go back and look for a definition of a child
 
Baada ya kupewa talaka kufuatia madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Khamis Juma kisha kuzimia na kulazwa hospitalini kwa mshtuko, hali ya kiafya ya staa wa Bongo Muvi, Wastara Juma sasa inadaiwa kuzidi kuwa mbaya.

WASTARA-3.jpg


Akielezea hali ya Wastara, babu wa Wastara aliyelazwa Hospitali ya Misheni ya St. Herry Heath Centre mkoani Morogoro, Abdulaziz Babu ambaye naye ni msanii maarufu wa filamu mkoani hapa alikuwa na haya ya kusema:
“Tangu aolewe na huyo Sadifa, ndoa yake imekuwa na migogoro mingi. Majuzi Wastara aliamua kuachana na mheshimiwa huyo kisha akabeba vitu vyake na kuja kwangu hapa Morogoro.

“Aliamua kuja kwangu kupumzisha akili yake. Chanzo cha mjukuu wangu kuugua ni huyo mheshimiwa aliyekuwa anaposti kashfa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya mjukuu wangu.
“Baada ya kuona hizo kashfa ndipo mjukuu wangu akapatwa na presha na kisukari kisha akapoteza fahamu.

“Niliamua kumkimbiza hapa hospitalini na hali yake ni mbaya kama unavyomuona. Kikweli hali hii inasikitisha na inaniumiza sana lakini najua Mungu anampigania.”
Alipoulizwa kama Wastara akipona na kuweka mambo sawa na Sadifa atarudi kwenye ndoa yake, babu huyo alijibu kwa jazba:
“Hatuko tayari mtoto wetu kuendelea kupata manyanyaso kama aliyokutananayo kwa kipindi kifupi kutoka kwa huyo mwanaume.
“Kwanza Wastara mwenyewe anajuta na ameapa kutorudi tena kwa Sadifa.”

Maneno ya Sadifa:

“Wastara ni mlemavu, hana baba wala mama halafu leo hii aniseme vibaya?”
Alisema kuwa hadi akaamua kumuoa ni kwamba alimpenda hivyo anashangaa kwa nini amseme hivyo.
Wastara amepitia katika uhusiano na ndoa kwa wanaume kadhaa. Awali alizaa na Mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Msafiri Kombo ‘Solo Thang’.

Mwaka 2000, alifunga ndoa na Ahmed Kushi kutoka Zanzibar na kuzaa naye mtoto mmoja aitwaye Fares. Baadaye alifunga ndoa na msanii mwenzake, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ ambaye kwa sasa ni marehemu na alizaa naye mtoto mmoja aitwaye Farheem kabla ya kufunga ndoa na Sadifa alikuwa katika uhusiano wa kimapenzi na Bond Bin Suleiman.
Atafute kitabu kinaitwa 5 love language Kimeandikwa na Gary chapman...kunasehemu kaelezea tatizo flani hv ambalo linaendana na hiki la wastara
 
Duuu aisee asante kwa hili japo mimi nitaendelea tu kuamini yatima ni yatima hata awe na umri gani

An Orphan a child who has lost both parents

Sasa kama ni mtoto hata awe na umri gani bado ataendelea tu kuwa mtoto kwa wazazi wake
Na wale waliokimbiwa na wazazi wao tuwaitaje ndugu?
 
Duuu aisee asante kwa hili japo mimi nitaendelea tu kuamini yatima ni yatima hata awe na umri gani

An Orphan a child who has lost both parents

Sasa kama ni mtoto hata awe na umri gani bado ataendelea tu kuwa mtoto kwa wazazi wake
Umri wa utoto unaishia miaka kumi na nane kisheria, itabaki kuwa hivyo
 
Mi namshauri atulie afanye yake mana kutafuta anajua hata Car wash yake ilikua inaenda vizuri na kwenye Muvi yupo vizuri kikubwa atulie apige kazi atunze watoto tu,kama Shida ni dudu hawezi kosa wa kumkuna
 
Yap..Huyo ni Yatima..Yatima ni mtu aliyepoteza wazazi wake wote wawili..Haijalishi una umri gani
Yatima ni mtoto asiye na wazazi wote wawili, mtoto ni mtu mwenye umri chini ya 18.Hivyo hakuna yatima mwenye umri wa zaidi ya miaka 18.
 
Kuna watu wanac hukiza sana
Akiwemo huyu dada ni anapenda drama hadi kapitiliza
 
Mkuu sijakataa mimi swala la umri sijui kisheria kuwa 18 , wewe baba yako ama mama yako anakuita nani ??
Mambo ya umri ni social construction, kuna jamii zingine mtoto ni chini ya miaka 18, zingine chini ya 21, chini ya 15, 12 n.k. Wengine akibarehe tu au akivunja ungo regardless ya umri.
 
Kama hayuko ICU ni habari njema, Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi arudie afya yake atoke haraka hospitali .
 
huyu mwanamke inabidi akasafishe nyota maana imekua tatizo!! mabalaa yote hayo yake...??
 
huyo sadifu nae akili zake sio nzuri, utamdhalilishaje mke wako kuwa eti umemlipia mil 32 akatibiwe india? yule si ni mke wake alitegemea nani amsaidie? huyo mwanaume bure kabis
Yaani Mpwa wakati mwingine unakuwaga na akili hadi inapendeza... au una kale kaugonjwa ka akili kanakotegemeana na mwelekeo wa upepo?! Tena sio mke wako tu... hata kama demu wako; si ulifanya uliyofanya kwa mapenzi yako?!
 
Back
Top Bottom