Baada ya kupima HIV, japo matokeo ni mazuri lakini siamini

Baada ya kupima HIV, japo matokeo ni mazuri lakini siamini

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
1,161
Reaction score
2,202
Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu?

Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya kupitia changamoto za kiafya siamini kama nimetoka salama, hasa ukizingatia yule mwanamke nilimkula kwasababu ya pombe tu na sikuwa timamu kiakili.
 
😁😁😁.. Watu wengine huwa tunapima kwenye mazingira magumu sanaa, yani umekaa na mwenza wako wote mnapima huku mnasikilizia majibu wote mnavitazama, huku mtoto yupo na kanga moko na wewe boksa
 
😁😁😁.. Watu wengine huwa tunapima kwenye mazingira magumu sanaa, yani umekaa na mwenza wako wote mnapima huku mnasikilizia majibu wote mnavitazama, huku mtoto yupo na kanga moko na wewe boksa
Mimi huyo mwanamke nilimuokota kitambaa cheupe asubuhi, Sasa baada ya hapo imepita miezi karibu minne Leo ndiyo nimepima.
 
Vile wauza mejeneza tunasubiria majibu ya pili
20260517_165126.jpg
 
😁😁😁.. Watu wengine huwa tunapima kwenye mazingira magumu sanaa, yani umekaa na mwenza wako wote mnapima huku mnasikilizia majibu wote mnavitazama, huku mtoto yupo na kanga moko na wewe boksa
Kuna ile ya baba kijacho lazima upimwe. Kaka aliniambia msindikize shem wako hospital kuanza clinic. Kanipa na gari anajua napenda kuendesha. Kufika nashangaa naitwa jina la kaka. Naanza kupewa na ABC za ujauzito wa shem wakijua ndio baba kija. Tukapimwa. Sema back then sikua na mambo mengi. Sahivi nikisikia kupima akili inawaka moto.
 
Hizi story zimebakia nchi maskini tu, hiyo SCAM nzima kuhusu H.I.V, AIDS, AZT, ARV'S etc, na matangazo na promotion zake huwezi visikia tena ulimwengu wa kwanza nchi zilizoendelea. Kanuni ni moja tu huwezi kuwa na ukimwi mpaka unaingia kaburini vinginevyo ukajipendekeze kuupima. Usipopima hutakaa uambiwe una ukimwi. Hiyo sentensi inahitaji kufikiria sana kuielewa. Elimu zote za hapa duniani zipo mtandaoni, ni namna gani ya kujiongeza ili kupata elimu sahihi ili usibebwe na mkumbo.
 
Unamaanisha ukimwi haupo?
 
Kuna ile ya baba kijacho lazima upimwe. Kaka aliniambia msindikize shem wako hospital kuanza clinic. Kanipa na gari anajua napenda kuendesha. Kufika nashangaa naitwa jina la kaka. Naanza kupewa na ABC za ujauzito wa shem wakinua ndio baba kija. Tukapimwa. Sema back then sikua na mambo mengi. Sahivi nikisikia kupima akili inawaka moto.
😁😁 Ile pima na mtu inatakiwa iwe backup, unatakiwa kupima chobingo kwanza ndio uende kupima ya jumla badae
 
😁😁 Ile pima na mtu inatakiwa iwe backup, unatakiwa kupima chobingo kwanza ndio uende kupima ya jumla badae
Kwamba first time ndio upime mbona utachanganyikiwa.
 
Ni pombe tu ndugu, ila makosa hayo sirudii tena
Hakika mkuu. Siku ukilewa sana achana na magoma.

Yaan siku ukienda Bar ukasema leo
Naopoa chuma basi iyo siku usinywe sana. Kuogopa kuuza mechi na kuibiwa.

Siku ukisema leo pombe tu na mpira, unakua na mwana. Hafu iyo siku usiguse goma.

Me ndio formula iyo
 
Hakika mkuu, alafu goma lenyewe lilikuwa kali sana mpaka nikaona nikitumia Kinga nitapoteza utam...

Ila nimejifinza jambo kubwa sana maana sio Kwa hofu niliyopitia
 
Back
Top Bottom