Jerusalem2006
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 433
- 2,109
Mkuu anza kufanya research binafsi, itakuchukua muda lakini utapata majibu. Tafuta video moja YouTube inaitwa House of numbers, anzia hapo, jaribu ku google madaktari bingwa kwenye hiyo video, tafuta na source nyingine za taarifa pengine utapata mwanga. Bottom line, usikubali kuanza kumeza ARV's kwa gharama yoyote siku ukiambiwa una ukimwi. Kale vizuri ishi maisha yako baada ya wiki kadhaa kapime tena. Ukianza kumeza hayo madude baada ya siku 90 ni ngumu kuyaacha, mwili utakuwa ushaanza kuyategemea hayo. Naishia hapa mkuu kwa leo. Sina majibu zaidi.Unamaanisha ukimwi haupo?