kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Ningeamini kwasababu nimepia mgogoro mkubwa wa kiafaya katika kipindi hicho, ila nataka nikarudie Tena kipimoKwamba ungekutwa nao ungeamini kipimo?
Mimi huyo mwanamke nilimuokota kitambaa cheupe asubuhi, Sasa baada ya hapo imepita miezi karibu minne Leo ndiyo nimepima.😁😁😁.. Watu wengine huwa tunapima kwenye mazingira magumu sanaa, yani umekaa na mwenza wako wote mnapima huku mnasikilizia majibu wote mnavitazama, huku mtoto yupo na kanga moko na wewe boksa
Kuna ile ya baba kijacho lazima upimwe. Kaka aliniambia msindikize shem wako hospital kuanza clinic. Kanipa na gari anajua napenda kuendesha. Kufika nashangaa naitwa jina la kaka. Naanza kupewa na ABC za ujauzito wa shem wakijua ndio baba kija. Tukapimwa. Sema back then sikua na mambo mengi. Sahivi nikisikia kupima akili inawaka moto.😁😁😁.. Watu wengine huwa tunapima kwenye mazingira magumu sanaa, yani umekaa na mwenza wako wote mnapima huku mnasikilizia majibu wote mnavitazama, huku mtoto yupo na kanga moko na wewe boksa
Tuna familia na sisiVile wauza mejeneza tunasubiria majibu ya pili
View attachment 3590055
😁😁 Tatizo ukiwa malaya PEP kutumia utakuwa suguMimi huyo mwanamke nilimuokota kitambaa cheupe asubuhi, Sasa baada ya hapo imepita miezi karibu minne Leo ndiyo nimepima.
Unamaanisha ukimwi haupo?Hizi story zimebakia nchi maskini tu, hiyo SCAM nzima kuhusu H.I.V, AIDS, AZT, ARV'S etc, na matangazo na promotion zake huwezi visikia tena ulimwengu wa kwanza nchi zilizoendelea. Kanuni ni moja tu huwezi kuwa na ukimwi mpaka unaingia kaburini vinginevyo ukajipendekeze kuupima. Usipopima hutakaa uambiwe una ukimwi. Hiyo sentensi inahitaji kufikiria sana kuielewa. Elimu zote za hapa duniani zipo mtandaoni, ni namna gani ya kujiongeza ili kupata elimu sahihi ili usibebwe na mkumbo.
Duh chuma ya kitambaa ulienda dry??Mimi huyo mwanamke nilimuokota kitambaa cheupe asubuhi, Sasa baada ya hapo imepita miezi karibu minne Leo ndiyo nimepima.
😁😁 Ile pima na mtu inatakiwa iwe backup, unatakiwa kupima chobingo kwanza ndio uende kupima ya jumla badaeKuna ile ya baba kijacho lazima upimwe. Kaka aliniambia msindikize shem wako hospital kuanza clinic. Kanipa na gari anajua napenda kuendesha. Kufika nashangaa naitwa jina la kaka. Naanza kupewa na ABC za ujauzito wa shem wakinua ndio baba kija. Tukapimwa. Sema back then sikua na mambo mengi. Sahivi nikisikia kupima akili inawaka moto.
Ni pombe tu ndugu, ila makosa hayo sirudii tenaDuh chuma ya kitambaa ulienda dry??
Kwamba first time ndio upime mbona utachanganyikiwa.😁😁 Ile pima na mtu inatakiwa iwe backup, unatakiwa kupima chobingo kwanza ndio uende kupima ya jumla badae
Kesho naenda kupima Tena, tusibiri majibuVile wauza mejeneza tunasubiria majibu ya pili
View attachment 3590055
Hakika mkuu. Siku ukilewa sana achana na magoma.Ni pombe tu ndugu, ila makosa hayo sirudii tena
bora ujijue una moto kona yako peke yako. Kuliko ile umekaa na mwenzako alafu kiwake dunia utaona ndogo kama chupa ya majiKwamba first time ndio upime mbona utachanganyikiwa.
Achana nayo. Pima mara moja inatosha. Kurudia rudia utapata unachokitafuta baadae.Kesho naenda kupima Tena, tusibiri majibu
Hakika mkuu, alafu goma lenyewe lilikuwa kali sana mpaka nikaona nikitumia Kinga nitapoteza utam...Hakika mkuu. Siku ukilewa sana achana na magoma.
Yaan siku ukienda Bar ukasema leo
Naopoa chuma basi iyo siku usinywe sana. Kuogopa kuuza mechi na kuibiwa.
Siku ukisema leo pombe tu na mpira, unakua na mwana. Hafu iyo siku usiguse goma.
Me ndio formula iyo