Jerusalem2006
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 433
- 2,109
Mkuu anza kufanya research binafsi, itakuchukua muda lakini utapata majibu. Tafuta video moja YouTube inaitwa House of numbers, anzia hapo, jaribu ku google madaktari bingwa kwenye hiyo video, tafuta na source nyingine za taarifa pengine utapata mwanga. Bottom line, usikubali kuanza kumeza ARV's kwa gharama yoyote siku ukiambiwa una ukimwi. Kale vizuri ishi maisha yako baada ya wiki kadhaa kapime tena. Ukianza kumeza hayo madude baada ya siku 90 ni ngumu kuyaacha, mwili utakuwa ushaanza kuyategemea hayo. Naishia hapa mkuu kwa leo. Sina majibu zaidi.Unamaanisha ukimwi haupo?
Hakuna makosa yasiyorudiwa wewe. Kilichotokea ni ajali kazini. Halafu siyo kila muuzaji unayekutana naye njiani ana ngoma!Ni pombe tu ndugu, ila makosa hayo sirudii tena
Mi kuna kitoto teenager nilikua nakiona kimtu. Ata style hakijui. Nikajua iki ata bikra itakua ilitolewa na wanafunzi wenzie. Nikauza mechi.bora ujijue una moto kona yako peke yako. Kuliko ile umekaa na mwenzako alafu kiwake dunia utaona ndogo kama chupa ya maji
😁😁😁 unakojoa uji, uliwahi ungechelewa au ungekumba zigo sugu, ungepigwa ma sindano yale power safe, ungekomaaaMi kuna kitoto teenager nilikua nakiona kimtu. Ata style hakijui. Nikajua iki ata bikra itakua ilitolewa na wanafunzi wenzie. Nikauza mechi.
Siku ya pili tu, nashangaa nakojoa mkojo unauma ova nakojoa misumali. Weee. Nikaenda hospital nakuta gono. Iyo hospital Dkt mwanangu. Akasema baada ya mwezi mmoja hadi mitatu njoo tupime waya.
Okay, nilipungua uzito izo siku, hamu ya kula sina wala nini.
Pia akaniambia mwambie uyo demu atibu iyo kitu. Si unajua wanawake viungo vyao viko ndani so anaweza kaa na ghono ata miezi yy anasingizia UTI kumbe kitu. Ndio maana baadhi ya hospital ukienda kutibiwa wanakuambia mlete mwanamke mtibiwe wote.
Namfata demu ananiletea usista duu eti nooh mi sijawahi fanya ivo. Mi sijasex nina miezi 6 sijui fyoko fyoko. Nikamtumia majina ya dozi na hela nikasema kalagabao.
Mbona na mimi nasumbuliwa sana na tumbo + homa na uchovu? Je hizo ndo dalili za ngoma?Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu?
Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya kupitia changamoto za kiafya siamini kama nimetoka salama, hasa ukizingatia yule mwanamke nilimkula kwasababu ya pombe tu na sikuwa timamu kiakili.
Namfata demu ananiletea usista duu eti nooh mi sijawahi fanya ivo. Mi sijasex nina miezi 6 sijui fyoko fyoko. Nikamtumia majina ya dozi na hela nikasema kalagabao.
Kwahiyo huko Marekani hakuna ARV?Hizi story zimebakia nchi maskini tu, hiyo SCAM nzima kuhusu H.I.V, AIDS, AZT, ARV'S etc, na matangazo na promotion zake huwezi visikia tena ulimwengu wa kwanza nchi zilizoendelea. Kanuni ni moja tu huwezi kuwa na ukimwi mpaka unaingia kaburini vinginevyo ukajipendekeze kuupima. Usipopima hutakaa uambiwe una ukimwi. Hiyo sentensi inahitaji kufikiria sana kuielewa. Elimu zote za hapa duniani zipo mtandaoni, ni namna gani ya kujiongeza ili kupata elimu sahihi ili usibebwe na mkumbo.
Ukimwi, ARV's etc wanaohangaika navyo ni watu wa hali ya chini. ARV zipo Marekani. Ila hakuna wasomi na wenye uwezo wanajisumbua hizo story tena. Hiyo scam ilishtukiwa kitambo, in short ARV ndo tatizo lenyewe, ukizitumia baada ya siku 90 kuziacha ni tatizo, zinaondoa kinga ya asili mwili unaanza kuzitegemea.Fanya research utaelewa. Usipoelewa basi endelea na mambo mengine.Kwahiyo huko Marekani hakuna ARV?
Kapime tena mkuu. Hayo matokeo uliyopata kwa lugha ya maabara tunayaita FALSE NEGATIVE. Ili kuwa na uhakika kama hayo matokeo sio ya uwongo, wahi ukapime tena mkuu. Usiendelee kujipa matumaini hewa ukachelewa kuanza dozi.Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu?
Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya kupitia changamoto za kiafya siamini kama nimetoka salama, hasa ukizingatia yule mwanamke nilimkula kwasababu ya pombe tu na sikuwa timamu kiakili.
Mkuu bora wewe umepima mimi mwenzako naogopa kwenda kupima na tokea juzi naumwa hapa nilianza kusikia baridi na mwili kuwa wamoto na kichwa kuanza kuuma, Sasa ikabidi ninunue dawa ya Maumivu nikaanza kumeza sasa nikaona mambo yanakua magumu na mwili unazidi kuwa wa moto na muda mwingine natoka majasho na nikaona natoka vidonda pendeni ya mdomo kwenye kona ya mdono. Na hamu ya chakula sina naweza nikaa tokea Asubuhi mpaka jioni sisikii njaa nikaona hapa nitakufa ikabdini niende hospital kumuona Daktar nikamuelezea ninavyo jisikia akaniambia nikspime malariaNi feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu?
Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya kupitia changamoto za kiafya siamini kama nimetoka salama, hasa ukizingatia yule mwanamke nilimkula kwasababu ya pombe tu na sikuwa timamu kiakili.
Mtu ni afya.. jali afya yako
Kitengo hiko mimi sipo vizuri hua sili kavukavu hata iweje natumia CondomWadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya kupitia changamoto za kiafya siamini kama nimetoka salama, hasa ukizingatia yule mwanamke nilimkula kwasababu ya pombe tu na sikuwa timamu kiakili.