MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani.
View: https://www.instagram.com/reel/DKXpR4fIz1w/?igsh=YTFydzFlb3BjdDdr
View: https://www.instagram.com/reel/DKXpR4fIz1w/?igsh=YTFydzFlb3BjdDdr