MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Akili ndogo hiyoHawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani.
View: https://www.instagram.com/reel/DKXpR4fIz1w/?igsh=YTFydzFlb3BjdDdr
Katiba imetoa uhuru wa kutoa ila haijasema kitu kuhusu uhuru wa baada ya kutoa maoni. Uhuru wa baada ya maoni itategemea na ulichokisema.Kwani wamekutwa wanakeketa mtu?
Katiba ya nchi inaruhusu uhuru wa watu kutoa maoni yao. Acheni kunyanyasa wananchi