Mkuu, ichukulie hiyo hali kuwa kama ni phase nyingine ya maisha na Mwombe Mungu na usiache kumshukuru kwa kila jambo. Kuna mambo 2 yanayoweza kutokea sasa either upate kazi/shughuli nyingine ndani ya kipindi kifupi na hali yako kuwa bora labda hata zaidi ya ilivyokua kabla ikiwa hivyo ni heri na kwa ulichojifunza hadi sasa naamini kitakusaidia kufanya maamuzi bora au hali yako ikazidi kuwa ngumu zaidi kwa sababu ya kutopata kipato cha uhakika, ikiwa hivyo usikate tamaa endelea kupambana, kumbuka hauko pekeyako ktk hizo shida na wako wengi wana shida labda hata zaidi ya hizo ulizonazo.Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia.
Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi.
Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo kazi mlizonazo kwa wakati huu maana bila kazi ni kama upo uchi.
Mwisho kabisa tukumbuke kuwekeza pale tunapokuwa huko makazini, hizi kazi za private ni mtihani hasa maana muda wowote unaachishwa kazi.
Sitaki kuamini mimi huyu leo hata hela ya daladala inanitoa jasho [emoji19]
Ni