Baada ya kurudi masomoni, nimemkuta na ujauzito, nifanyaje?

Baada ya kurudi masomoni, nimemkuta na ujauzito, nifanyaje?

Nyanda lunduma

Senior Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
187
Reaction score
68
Yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu.

Mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita.

Narudi home baada ya kutoka masomoni namkuta ana mimba ya miezi kama miwili, tuliahidiana kuoana.

Naomba ushauri wenu wakuu
 
yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu,mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita narudi home baada ya kutoka masomoni nilimkuta ana mimba ya miezi km miwili ,tulihidiana kuoana naomba ushauli wenu wakuu nifanye nn?

= ushauri
 
  • Thanks
Reactions: amu
yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu,mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita narudi home baada ya kutoka masomoni nilimkuta ana mimba ya miezi km miwili ,tulihidiana kuoana naomba ushauli wenu wakuu nifanye nn?

Hujielewi ndio maana mwenzako kaamua kubeba ujauzito na dume jingine. Nathibitisha kuwa kuwa hujielewi kwa haya machache.
1. Kichwa cha habari umesema "ndoa iko njia panda" lakini maelezo yako inaonesha wazi hamkufunga ndoa wakati unakwenda chuo.
2. Unatuomba ushauli au ushairi? iweje utuombe huo uliouita ushauli sasa ulipomkuta anamimba, kwanini hukuomba ushauri wakati unamwacha kwenda masomoni?
3. Ndoa niakubaliano ya wawili, sisi hatuhusiki, kama ambavyo mwanzo wa mahusiano yenuilivyofanya kuwa siri, basi mngeendelea kutunziana siri hata kama anamimba ya dume jingine kuliko ulivyomdhalilisha/ulivyojidhalilisha humu then mkakae nae kama mke na mme.
USHAURI WANGU NDIO HUO BWANA NA POLE SANA KWA KUKUAMBIA UKWELI, NAJUA UTAKUUMA JAPO KIDOGO.
 
Pole sana kijana kwa yaliyokupata. Ila kwenye maelezo yako unasema ulimwacha, sasa naomba kukuuliza ni ULIMRUHUSU AU ULIMWACHA? na kama ulimwacha usilalamike mwambie aendelee na fungu alilolichagua. Kingine ni kwamba anakupa ujumbe kuwa wewe sio type yake.
 
Sasa unamkuta mpenzi wako ana ujauzito wa miezi miwili halafu unakuja JF kuomba ushauri?

Sasa unataka tukiambie nini wakati jibu unalo?

Kilichokufanya uje uombe ushauri hapa ni nini?
 
Back
Top Bottom