Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu,mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita narudi home baada ya kutoka masomoni nilimkuta ana mimba ya miezi km miwili ,tulihidiana kuoana naomba ushauli wenu wakuu nifanye nn?
Mimba ya nani? Labda uliondoka ukamuachia mimba? Kuna mimba zinakua taratibu sana sikuhizi.... we muulize vizuri tu.