Tehe tehe, natafuta connection bado!
^^
Kwamba amtose au abaki nae waitoe mimba
Bado anampenda anataka tumpe support.
Angalia jambo linaloombewa ushauri, yaani CCM wameinyonya nchi na wananchi mpk hata uwezo wa kufikiria umekufa!
Tunapoelekea atakuja mtu humu kupost "nipo kipu lefti" naomba ushauri wenu, pakupita!
Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi,hiyo mimba ni yake sema ilichelewa kutungwa
Kwamba amtose au abaki nae waitoe mimba
ha ha ha ha hahahhahahaha kweli unaelimu sifuri.. hata hili umeshindwa kuchanganua? huna akili.. utakuwa umemtumia mbegu kwenye whats app
Ushuri, wanawake ni wengi sana, chukua mmoja
ha ha haha kweli kabisa duhAnasema anatoka kusoma, yawezekana alienda kusomea ujinga.
Ilinitokea 2005....narudi kitaa mpenzi wangu ana mimba ya mme wa mtu,nafika tu napewa skendo,akaanza kunitafuta,baby nataka nioe,nakupenda sana nipo tayari hata kukimbia kwetu.......nikamwambia we si tuliahidiana na tunapendana?sasa mimba ya nani si uliniambia hujawahi cheat?.......yaani bla bla kashaona future imepotea.
siwezi lea bao la mtu tena ya makusudi!!