Baada ya kurudi masomoni, nimemkuta na ujauzito, nifanyaje?

Baada ya kurudi masomoni, nimemkuta na ujauzito, nifanyaje?

Tehe tehe, natafuta connection bado!
^^

Angalia jambo linaloombewa ushauri, yaani CCM wameinyonya nchi na wananchi mpk hata uwezo wa kufikiria umekufa!

Tunapoelekea atakuja mtu humu kupost "nipo kipu lefti" naomba ushauri wenu, pakupita!
 
Ilinitokea 2005....narudi kitaa mpenzi wangu ana mimba ya mme wa mtu,nafika tu napewa skendo,akaanza kunitafuta,baby nataka nioe,nakupenda sana nipo tayari hata kukimbia kwetu.......nikamwambia we si tuliahidiana na tunapendana?sasa mimba ya nani si uliniambia hujawahi cheat?.......yaani bla bla kashaona future imepotea.

siwezi lea bao la mtu tena ya makusudi!!
 
Angalia jambo linaloombewa ushauri, yaani CCM wameinyonya nchi na wananchi mpk hata uwezo wa kufikiria umekufa!

Tunapoelekea atakuja mtu humu kupost "nipo kipu lefti" naomba ushauri wenu, pakupita!

Umefikiri mbali sana Mkuu. Na huo ndio ukweli.
^^
 
Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi,hiyo mimba ni yake sema ilichelewa kutungwa

Halaf mtoto atoke rangi kama yako halaf ye black bado itakua ni mabadiliko ya tabia ya nchi?😀😀😀😀
 
Haya mambo mengine ni kutafutana ubaya bure! sasa hapa unashauri nini?
 
lea mimba kisha ahadi yenu ya kuoana iwe palepale.
 
Mkuu ivi kwenye tatizo jepesi kama hilo unahitaji ushauri kweli? ebu uliza moyo wako jee huyo anafaa kua MAMA wa watoto wako? umekuweda miezi 6 kachepuka ukienda mwaka si ataigawa kama pipi?
lakini still tamu yake na chungu yake unaijua wewe...
 
Ilinitokea 2005....narudi kitaa mpenzi wangu ana mimba ya mme wa mtu,nafika tu napewa skendo,akaanza kunitafuta,baby nataka nioe,nakupenda sana nipo tayari hata kukimbia kwetu.......nikamwambia we si tuliahidiana na tunapendana?sasa mimba ya nani si uliniambia hujawahi cheat?.......yaani bla bla kashaona future imepotea.

siwezi lea bao la mtu tena ya makusudi!!

Mkuu Viol ulichukua maamuzi gani sasa?
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine wanaume tunaamuaga kung'ang'ania wanawake vimeo na mizigo sijui Kwanini.
Katoeni kijana muendelee na mapenzi yenu , yatakayokuja kukutesa huko mbeleni ila ndiyo itakuja kuwa Majuto ni mjukuu.
 
Back
Top Bottom